Kwamba hujui picha za setilaiti zinapatikanaje?Ili kuweza kurusha satellite kwenye anga la Tanzania unahitaji kibali cha TCRA ..Je kama kuna ukweli wa picha zinazodaiwa ni za sattellite je wahisika walipata kibali?
Kama hawakuwa na kibali je ni mara ngapi wamefanya hivyo kukiuka the right to privacy??
Tanzania sio baharini pasipo na mwenyewe JWTZ linalinda ardhi,maji na mbingu ya TanzaniaAu akaangalie video za tsunami or anafikiri CNN walikua na camera zao wanarekodi matukio??
Space Haina mtu,hata baharini pia Kuna maeneo hayana mipaka huko ndio watu wanakabwa,uvuvi haramu...
Akili hizi ndio zilifanya magufuli alipokua waziri akamate wachina kwa uvuvi haramu bahari ya hindi,akawapora samaki,akataifisha meli yao,at the end of the day,tukalipa mabilioni kama fidia
Wewe ni mjinga sana unaelimu gani?ni Fake news ...hata Trump anawajua
Kukosa hoja kunaonyesha ujinga wa mtu, plus utetezi usio na mantiki. Nadhani atajifunza kitu sasa.Kukosa elimu ni shida! Yaani huu uzi unaonyesha ujinga wa hali ya juu.
Jikite kwenye haki ... sheria na sheria za anga na anga za kimataifaKwani TCRA si wameifungia JF kwa walioko Tanzania wakaenda mbali na kusema kutumia VPN nayo hadi uwe na kibali?
Sasa mbona bado machawa na vidampa wa ajuza muuaji wanatumia JF kwa VPN ambazo hawajazisajili na bado wanadunda.
Hivyo ndio maisha yanaenda , mmekamatwa na kubabanishwa kwenye kona ndio maana sasa mnatafuta vijihabari uchwara.
Kwa sasa kuanzia boss hadi vidampa mmechanganyikiwa shauri ya damu mlizomwaga.
Boss wenu alianza kusema wale waandamanaji wametoka nje ya nchi kabadilika tena anasema walifuata mkumbo , ghafla majuzi tena anasema walilipwa kuandamana , hamueleweki na hamna pa kushika mnatapatapa tu.
Pole sana jinga lao.
Wewe jinga lao lini ulisikia satellite zinafanya landing?Jikite kwenye haki ... sheria na sheria za anga na anga za kimataifa
Bura ukae kimya ufiche ujinga wako.Ili kuweza kurusha satellite kwenye anga la Tanzania unahitaji kibali cha TCRA ..Je kama kuna ukweli wa picha zinazodaiwa ni za sattellite je wahisika walipata kibali?
Kama hawakuwa na kibali je ni mara ngapi wamefanya hivyo kukiuka the right to privacy??
Joined 2011 lakini akili za kitoto kabsa."Bora kukosa mali kuliko akili, kwani elimu ni bahari haina mwisho"
Labda swali lako halijaeleweka,Tuna upungufu wa Great thinkers humu jamvini ...swali langu ni la kimantiki lenye kuhitaji jibu la kina
Mimi sijajibu ulichoandika nime mqoute tu jamaa,kama hao wote hujawaelewa Mimi utanielewa??Ta
Tanzania sio baharini pasipo na mwenyewe JWTZ linalinda ardhi,maji na mbingu ya Tanzania
Akili huwa mnaweka wapi?mbona huku juu watu wameeleza vizuri, satellite haziwekwi China, Tanzania wala urusi,zinawekwa kwenye SPACE eneo ambalo hakuna mwenye nalo..kwani mpaka wa anga wa Tanzania upo wapi?? kwenye mwezi??au nyota ya zuhura??Kwa nchi hizi za Africa satellite haziwezi kuzuiliwa.. Ila kwa nchi kama China au Russia huwezi Kuta USA ameweka satellite yake huko
Kumbe ziko 12
Daaah!!!Ili kuweza kurusha satellite kwenye anga la Tanzania unahitaji kibali cha TCRA ..Je kama kuna ukweli wa picha zinazodaiwa ni za sattellite je wahisika walipata kibali?
Kama hawakuwa na kibali je ni mara ngapi wamefanya hivyo kukiuka the right to privacy??
Nilijua kuna vilaza wenye kiingereza cha juhudi binafsi mngejitokeza baada ya kuona neno LANDING. Inasikitisha sana. Ngoja nikueleweshe huo ujinga na wenzako ukutoke. Landing rights linatumika sana kwenye mambo yanayohusiana na anga na ni maarufu zaidi kwenye vitu jamii ya aeroplanes ila kwa upande wa satellite inamaanisha haki ambazo nchi hutoa kwa satelite ya kigeni kurusha mawimbi (to land signals) kwenye eneo la nchi husika (territory). Kimsingi satellite kuweza ku-operate kwenye eneo la Tanzania lazima kuwe na vibali ambavyo ndo maarufu kwa jina la Landing rights. ACHA HUO UPUMBAVU WA KUTAFSIRI KIINGEREZA KWENDA KISWAHILI BILA KUJUA LINATUMIKAJE NA WAPI.Mkuu satellites zinahitaji landing rights? Unaelewa maana ya landing? Landing ni kutua, satellites zinahitaji haki ya kutua ili iweje? Zinatua kwenye nini wakati satellites zipo angani muda wote? Au unahisi satellites ni ndege?
Pili, satellites zipo maelfu angani muda wote. Sema inahitaji picha ya wapi hapa Tanzania nikuletee
Naelewa vizuri sana... Satellite huwekwa juu kabsa outer space ambaye hamna mwenye umliki wowote wa hilo anga.. na hii ni kutoka na mkataba wa Outer space 1967 uliweka hii Sheria.Akili huwa mnaweka wapi?mbona huku juu watu wameeleza vizuri, satellite haziwekwi China, Tanzania wala urusi,zinawekwa kwenye SPACE eneo ambalo hakuna mwenye nalo..kwani mpaka wa anga wa Tanzania upo wapi?? kwenye mwezi??au nyota ya zuhura??
Nimesikitika sana kugundua kuwa watu hawajui satelite huwa zinarusha mawimbi kutua sehemu mbalimbali ndo hapo LANDING RIGHTS zinapohusika. Yaani mtu anakurupuka kutafsiri kiingereza kwenda kiswahili bila kujua hilo neno linatumikaje kwenye tasnia.Tuna upungufu wa Great thinkers humu jamvini ...swali langu ni la kimantiki lenye kuhitaji jibu la kina