Landing Rights for satellite launching in Tanzania

Lo, satellite zinakuwa katika anga ya kimataifa. Anga ya kimataifa sio anga ya nchi fulani.
 
Nimesikitika sana kugundua kuwa watu hawajui satelite huwa zinarusha mawimbi kutua sehemu mbalimbali ndo hapo LANDING RIGHTS zinapohusika. Yaani mtu anakurupuka kutafsiri kiingereza kwenda kiswahili bila kujua hilo neno linatumikaje kwenye tasnia.
Tuna kazi kubwa ila tusichoke
 
Mkuu umekumbwa na nini mbona haupo na S.... kwenye hili??
Ndugu yako kauwawa MO29 maiti hamjaiona?
Au unaogopa kuunganishwa kwenye orodha ya prosecutor wa ICC?
 
umezisoma sheria za TCRA?zina dos and donts.
Je aliyeleta hizo picha amezingatia sheria?kwa nini tujizoeshe vurugu wakati sheria zipo?
 
sasa kijana hata kama wamekiuka utaratibu na sheria mtawafanya nini?
 
Mkuu unasema satellites zinahitaji kibali kuoperate kwenye eneo la Tanzania?

Unajua satellites zilipo? Bado hujui satellites ni nini

Satellites zipo nje kabisa ya dunia hii, hazioperate kwenye kwenye eneo la Tanzania tu satellites huko zilipo kwenye universe zinacapture picha za dunia nzima, wewe kupata unachotaka ndio utaenda sehemu unayohitaji. Mfano mm nataka nipate picha za Nigeria ntaenda Nigeria

Nakuwekea mfano hapa uelewe
Huu ni muonekano wa dunia jinsi satellites zilivyo nje na zinavyoipiga picha dunia


Hapa chini nimeenda bara la Africa linavyopigwa picha na satellites


Hapa chini nimeenda Tanzania na kuitafuta Dodoma inavyopigwa picha hizo za satellites


Hapa chini tayari nishaifikia Dodoma na naweza kupata picha ya satellite sehemu yoyote ndani ya dodoma




Kwa mifano hii naamini umeelewa satellites ni nini na zinafanyaje kazi
 
Kwa nchi hizi za Africa satellite haziwezi kuzuiliwa.. Ila kwa nchi kama China au Russia huwezi Kuta USA ameweka satellite yake huko
Kote huko zinapita vizuri tu, maana satellites hupita juu sana nje ya anga la nchi (sovereign airspace) ambayo huishia 100km.

Kwa kawaida Satellites hupita angani umbali wa kati ya 400km hadi 36,000km ambapo ni outer space au international space (yaani siyo ya nchi).

Kwa hiyo Satellites za China zinapita juu ya US, Russia, India, nk. Za US ni hivyo hivyo, zinapita kote, nk. Za Russia ni hivyo hivyo, nk..

Mwisho, satellites haziwekwi juu ya nchi moja, zinazunguka dunia muda wote. Baadhi hukamilisha mzunguko mmoja kwa dk 90 tu, na kuna ambazo hukamilisha kwa saa 24, nk.
 
Hili swali ungemuuliza mume wako Abdul! Usichoshe watu na hizi mada zako za kipumbavu.
 
Wewe ni mjinga kabisa. Huna maarifa.
Satellites zipo juu ya anga la Tanzania na dunia nzima na zinachukua picha masaa 24 na huhitaji kibali chochote.
Ajui kama ile ni free space
Mama yako akitaka kirusha arushe ya kwake pia
 
Kuchukua picha za Satellite huhitaji kibali cha nchi yoyote ile. Hivi wewe umesoma wapi, unajua hizo Satellite zinazunguka dunia nzima, zinapiga picha dunia nzima bila kificho? Kuna aina nyingi za Satellite lakini maarufu zaidi ni Maxar, hizo zote zinapiga picha kama zinavyotaka, hakuna kizuizi, ndiyo maana tunaona picha za milima, volcano and other landmarks bila kificho. North Korea inazo picha nyingi za Satellite zilizopigwa na hiyo Maxar ambayo ipo kibiashara, meli za vita za China zimepigwa picha zikiwa zinatengenezwa hadi zikiwa zimemalizika, USA pia kuna picha zake zimepigwa na nchi kama Russia au China. Hakuna mipaka kwenye kupiga picha za Satellite, Hauhitaji kuomba ruhusa kwa yeyote.
 
Maji ya shingo
 
Hao TCRA Kwanza hata wanajua kama Kuna satellite juu ya anga la Tanzania?
 
Bado elimu yako kwenye hili ni ya kawaida sasa google upate elimu kutoka vyanzo sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…