Landing Rights for satellite launching in Tanzania

unahitaji kibali cha TCRA
TCRA hii hii iliyoipiga ban jf au kuna TCRA ziada?

Umewahi kijiuliza kwa nini jf imeendelea kuwa hewani ulimwenguni pote hata baada ya kupigwa ban na TCRA ?
Acha kutumia makalio kama akili yako zoba wahed weye
 
TCRA hii hii iliyoipiga ban jf au kuna TCRA ziada?

Umewahi kijiuliza kwa nini jf imeendelea kuwa hewani ulimwenguni pote hata baada ya kupigwa ban na TCRA ?
Acha kutumia makalio kama akili yako zoba wahed weye
Kiazi kweli wewe ....hapa naongelea utii wa sheria
 
Yosanafabeche
 
Hata tu sisi tuliosoma geography ya form 3 topic ya photography na map reading tunaweza kummudu kujibu hili swali.
 
Ahahaaa Baada ya kuukosa uwaziri unabwata we mama!

Hebu jikaze huko, kuwa kama Lucas Mwashambwa anaridhika na ujira wake wa "tia maji tia maji" maisha yanasonga.

Utajiju! Kazi na utu.

Ntakuombea kazi kwa Kaka angu UCD uwe unaosha kagari kake.

Cc: binti kiziwi Wanu HAFIDH AMEIR cocastic Lamomy
 
Nimesikitika sana kugundua kuwa watu hawajui satelite huwa zinarusha mawimbi kutua sehemu mbalimbali ndo hapo LANDING RIGHTS zinapohusika. Yaani mtu anakurupuka kutafsiri kiingereza kwenda kiswahili bila kujua hilo neno linatumikaje kwenye tasnia.
Upo sawa lakini hizo landing rights zinakuwa null and Void as far as crime is concerned hususani dhidi ya raia. Tuhuma za kuua watu na kwenda kuwafukia kuficha ushahidi tayari hapo mme Spook attention ya umoja wa mataifa... Kuna Red line hupaswi kuvuka... Kamuulize ayatollah nini kilimkuta pale B-2 stealth bomber zilipokuja kwenye anga lake kumsabahi...
 
Wakuombe kibali kwani unawachangia mafuta ya kuendesha satelite we boya kweli
 
CCTV footage
Satellite image

Hapa hata mtoto wa vidudu anafahamu yupi wa kumuamini na yupi wa kupuuzwa.
 
Nyie kibali cha kuua maelfu ya raia mlikipata wapi?
 

Mzee baba una nia nzuri ya kutaka kudadisi lakini nahisi umechanganya mafaili...

Kurusha maudhui kama matangazo ya televisheni au redio kwa 'satelaiti' sio sawa na kutumia matumizi ya 'satelaiti' mathalani GPS kutazama hali ya juu ya nchi...

Mfano wewe kwenye simu yako unaweza ukawa umeweka app ya Google earth inayokuwezesha kutembelea eneo lolote dunianai na kutazama mandhari yake toka juu 'aerial view' na wala huitaji kibali chochote...

Njia nyingine ni kupitia mifumo ya kijeshi haswa majeshi ya nchi zilizoendelea ambazo huwa na mfumo wa kuchunguza mienendo ya chochote kinachotokea chini kwa ama kutumia 'satelaiti' au ' kutumia ndege zisizo na rubani...

Hivyo wakati jamaa wanatembeza njugu siku hizo, huwenda wenzetu walisogeza drones zao almaarufu 'bird' kwenye anga letu ili kulinda maslahi yao ikiwemo ubalozi...
 
Access ya mimi kwenye google map naamini ina kibali cha TCRA.
Swali langu ni rahisi sana ..je CNN walitumia google map ninayotumia kufanya analysis au kitu kingine ?kumbuka google map haina access ya maeneo yote nchini.
unapotaka kutumia something beyond civilian acceptable apps lazima upate kibali...je kibali hiko walikipata?
kama hawakuwa nacho hiyo ni violation ya mipaka yetu inayolindwa na JWTZ...na kamwa huwezi kujikweza kwa kuviolate mipaka ya nchi nyingine hata kama una uwezo huo .
This is a serious security matter of concern!
 
Una elimu gani? Zile Satelitee za NATO zinazo piga picha Urusi huwa wana kibali? Fuvu lako umebeba kamasi badala ya Ubongo?
 
Una elimu gani? Zile Satelitee za NATO zinazo piga picha Urusi huwa wana kibali? Fuvu lako umebeba kamasi badala ya Ubongo?
Umefuatilia kujua namna zinavyofanya kazi kilaza wa HKL wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…