Landing Rights for satellite launching in Tanzania


Wametumia GPS map hii hii kama ya google isipokuwa picha zake za satelaiti zipo updated...

Kwa kawaida google map tunayoitumia sio real time kwa sababu za kiusalama...

Lakini ukitaka picha ambazo ni real time kwa sababu za kiuchunguzi, kiudukuzi au kijasusi basi huwa zinapatikana...

Kama umekuwa mfuatilia wa habari za vita mashariki ya kati, ghuba ya uajemi basi utakubaliana nami kuna wakati mashirika ya habari kama CNn au BBC yanarusha habari za kiuchunguzi zenye picha za satelaiti kuonesha labda makombora yamepiga au kuharibu eneo gani, au kuonesha maghala au mitambo fulani ya nyuklia n.k

Sisi watumiaji wa kawaida tukitazama kwa sasa namna Kondo ilivyo, tutaona picha za mwisho za satelaiti pengine za Juni au July 2025, hivyo huwezi kuona mabadiliko yeyote ya Oktoba au Novemba...

Picha ya Kondo ukitazama google map leo tar 22/23 Nov (inategemea upo majira gani)

 
hoja yangu ipo pale pale je wametumia mifumo rasmi?wamefuata taratibu tunazozijua?
 
hoja yangu ipo pale pale je wametumia mifumo rasmi?wamefuata taratibu tunazozijua?

Kwa ukubwa wa shirika hilo la habari lazima wamefuata mfumo rasmi mzee baba ndio maana nimekutajia mifano mingine...

Kitu pekee ambacho hao CNN, mimi na wewe hatuwezi kuwa na uhakika ni kwa nini eneo limekuwa kipara sasa na wakati kabla lilikuwa na uoto asili...

Ninavyojua uchunguzi wa kisatelaiti ukitumika zaidi utaweza pia kutoa majibu ya kwa nini pako hivyo kipara sasa πŸ˜„, wenye GPS wanakuwa na hizo rekodi za picha ambazo GPS imerekodi katika muda mfupi mfupi...
 
Hivi walitumia "land" kurusha" satellite kumbe? Nisaidieni maarifa wandugu! Sikujua km cnn walikuja kurusha satellite wakati damu zinatirirka
Sidhani kama CNN wana satellite za kwao. Na si lazima kurusha satellite yako ili upate data kama hizi. Ziko kampuni nyingi binafsi na mashirika ya serikali US, EU, China etc. Wanazo satellite nying angani zinazozunguka dunia 24/7.
Nyingi ni kwa ajili ya hali ya hewa, majanga, kilimo, spying etc. Unacotakiwa kufanya kama unataka kupata hizi picha unawapa tarehe wanakuuzia picha waliyopata siku hiyo. CNN wao wamasema walitumia Planet Labs na Vantor.
Kama unapesa unaweza kwenda unakunua hizo picha.
 

Naomba umuelimishe mtoa mada sasa coz kaleta boko hapa
 
Maneno kama haya yananipa sana faraja
 
Elimu ELimu Elimu - E.N.L(2015)
 
Wewe ni kilaza ...zipo sheria za kimataifa na kitaifa zinazosimamia...
Abdul ameajiri vilaza wasio na elimu yeyote na kuwaleta mitandao kueneza propaganda ,kwahiyo wewe jicho lako linazuia kuona kwasababu ya sheria? Kwahiyo anga ya TZ imekuwa covered na mablanket kiasi cha kuzuia satelite isiweza kuona?
 
Abdul ameajiri vilaza wasio na elimu yeyote na kuwaleta mitandao kueneza propaganda ,kwahiyo wewe jicho lako linazuia kuona kwasababu ya sheria? Kwahiyo anga ya TZ imekuwa covered na mablanket kiasi cha kuzuia satelite isiweza kuona?
wewe pamoja ma kutumia avatar ya mkongwe wa JF unakuja na comment kama hii ?hebu rudia kwenye ule U JF member wako kabla ya mwita bana
 
Jielimishe kuhusu landing right mkuu
Hakuna sheria yoyote CNN imekiukAa. Matumizi ya neno "haki za kutua" katika sheria za Tanzania yanahusu zaidi waendeshaji wa satelaiti wa kigeni wanaouza uwezo wa mawasiliano kwa waendeshaji wa ndani walio na leseni kwa ajili ya huduma za kibiashara za mawasiliano ya simu, si kwa ajili ya kuripoti habari kwa kutumia picha zinazopatikana hadharani au kibiashara.
 
Mbona unaongea utumbo sana....
Ulitakiwa uongee hivi kama wewe ni raia wa US, au wa nchi za NATO...
Kiinchi chenyewe unachikitetea hakina uwezo hata kutengeneza au kurusha hizo satellite....
Russia yenye uwezo huo inajua kabisa kila siku inachunguliwa na NATO na ndio wanaotoa coordinates kwa Ukraine kutumia Himars...na Putin anachobaki ni kubwekabweka tu...
Una bwabwaja hapa utadhani kiinchi kina mashiko yoyote kwenye pilika za dunia....
Haya wamefanya hivyo unatakata wafanyaje, wakafunhgue mashitaka wapi, kwa nani na nani atawasilikiza zaidi ya kuangua vicheko....
Kiinchi chako kikiifungia CNN, halafu watapata nini zaidi ya kuanza kuandamwa kimataifa kama kiinchi cha kidekteta halafu ni masikini choka mbovu....
Na unapotaja eti mipaka inayolindwa na jwtz ni vichekesho ......
 
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„nimecheka
 
Hawa chawa wa ccm hawana elimu kama maboss zao. Anahisi satellites ndio drdrones

Ndo maana habil anashangaa anawaia primitives πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Kutokea sasa satellite zote za dunia zitaelekezwa kwenye maandamano pia makaburi kuchukua ushahidi wa wauaji.
 
Reactions: Zed
wewe pamoja ma kutumia avatar ya mkongwe wa JF unakuja na comment kama hii ?hebu rudia kwenye ule U JF member wako kabla ya mwita bana
Nimeuliza swali kwahiyo anga letu limefunikwa na mablanket yanayozuia satelite zisiweze kuona? Au sheria zikishatungwa automatically anga linakuwa invisible?
 
M
Mdau kutoka Facebook ana sema
A wiseman once saidi "You can't block diarrhea by putting a finger (🀞) into your @.nus"
Kuna watu heri wakutukane si kwa hili jibu ka weweπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Satelite inamilikiwa na TCRAπŸ˜€πŸ˜€
 
Hizi elimu ndogo.ile habari ni kubwa kuliko iluwezo wa akili yako kwa hiyo lazima izidiwe tu
 
Ila akili za tu uv mbogamboga hata bata anawazidi 😹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…