Landmarks za Tanzania na Majina ya Viongozi


Gosh!!! Did I say your proposed name is no longer illogical?

Kilimanjaro Region is just as unique as “Kikwete University”. Just as there would be no “Kikwete University” anywhere else, there’s no Kilimanjaro Region anywhere else. So, if you called it “Kilimanjaro Region at Moshi” that would be absurd. I brought this up in an attempt to help you see the absurdity of the name you proposed!

If you’re inventing your own naming convention, that’s another issue altogether!

Do you know that we have learning institutions in Tanzania, which could have been named in a similar fashion, if that were appropriate?

Sokoine University of Agriculture (SUA) used to be Morogoro University of Agriculture. Do you think those who decided to drop “Morogoro” in renaming the university were crazy or didn’t care about Morogoro? I know the answer to this question is “no”. It’s just because there’s no Sokoine University of Agriculture anywhere else. So, calling it Sokoine University of Agriculture at Morogoro would be illogical!

Teofilo Kisanji University is another example of a local university. This one is in Mbeya. Do you think those who named it that way, omitting “Mbeya” from the name didn’t care about Mbeya? The answer to this question is “no”, too. Calling it “Teofilo Kisanji University” at Mbeya would be illogical, because there’s no Teofilo Kisanji University anywhere else!

“Julius Nyerere of Tanzania” is a name for what institution now? Don’t just drop names as though they don’t matter!
 
Kuhusu Kikwete kuna daraja kubwa sana kule Kigoma mto Malagarasi nadhani umepitiwa kidogo.
Daraja la Kikwete
 
Chaminade iko chini ya Kanisa Katoliki, chini ya Marian; wana vyuo vidogo vingi nchi mbalimbali na hata Kenya kipo; kwa hawa kuita "Chaminade University of Honolulu" ni sawa kwa kuwa wanaweza kufungua/ kujenga chuo kikuu sehemu nyingine.
Look sir; nadhani na wewe unatoa generalization isyokuwa na basis yoyote. Iwapo argument yako ni kuwa Chaminade ni chuo cha katoliki kama vilivyo vyuo vingine vya kikatoliki na hivyo ni network kubwa ingawa chenyewe kimepewa jina jingine, je hujui kuwa Dodoma pia ni chuo cha serikali kama ilivyo Sokoine na UDSM sambayo pia ni network ya vyuo ambavyo Chancellors wake wanateuliwa na rais mmoja tu?

Kama hiyo ni shida, je hiki David Aghmashenebeli University of Georgia nacho ni network?


Mnataka kucreate jambo ambalo halipo kabisa; mimi nazungumuza matumizi ya majina kwenye landmarks.
 

Tatizo lako unarukia taasisi ambazo huzijui kwa kina provided tu umeona jina lenye format inayofanana na ya “Kikwete University of Dodoma” unayoitaka. Kwa mfano, ulituletea mfano wa Chaminade University of Honolulu. Hujui kuwa Marian (wamiliki wa hicho chuo) wana high schools na colleges kadhaa zinazotumia jina “Chaminade” mahali tofauti tofauti. Obviously, kukiita hicho chuo Chaminade University bila “of Honolulu” identifier kungesababisha unnecessary confusion, kwa sababu ya colleges zilizopo elsewhere.

Tupe mifano ya taasisi unazozijua kwa kina, especially local ones. Achana na taasisi ambazo you almost know nothing about!
 
Naona wewe huelewi kuwa kumiliki shule nyingi na kuwa na kuwa na university yenye jina moja katika sehemu mbalimbali ni vitu viwili tofauti. Kama swala ni kumiliki, basi nimekuambia UDOM, UDSM na SUA zote zinamilikiwa na serikali. Ni kweli kuwa Society of Mary wana shule nyingi sana hasa za secondary na high school, lakini wana Universities tatu tu na kila university yao ina jina lake distinct kabisa: University of Dayton, St Mary's University, na Chaminade University of Honolululu. Sseconday school, high school na colleges siyo Universities!

Hakuna university nyingine yoyote duniani inayoitwa Chaminade University zaidi ya Hiyo "Chaminade University of Honolulu". Kama unaijua tuambie, ila usilete secondary school, high school au college kwa sababu utakuwa unachanganyi apples ana oranges. Na kama hiyo ndiyo justification yako, basi pia ulewa kuna shule za msingi zinazoitwa Kikwete ambayo in fact siyo relevant kwenye mada hii.
 

Duh; kazi kweli kweli! Kwanini umeng’ang’ana na taasisi usizozijua kwa kina na mapana yake? Umeshindwaje kutupa mifano ya local institutions unazozijua kwa kina na pia watu wengi tunazifahamu kwa kina, kama unadhani hilo jina unalotaka sio illogical?

Seriously, unaleta mfano wa UDOM, UDSM, na SUA ili iweje kwanza? What’s common in their names, other than the words “University” and “of”?
 
Unakwepa nini sasa iwapo wewe ndiwe uliyeyaanza hayo? Mimi ninaongelea utaratibu mzuri wa kutumia majina ya viongozi wa zamani kwenye landamarks zetu, wewe unarusha mambo mengi irrerevant, ninapojaribu kukurudisha kwenye njia sahihi wewe unarukia kwingine. Tunaweza kujadiliana lolote kweli la maana katika mazingira ya namna hiyo?
 

Unayekwepa ni wewe uliyeng’ang’ana na taasisi usizozijua provided format ya jina inafanana na unayoitaka. Kwa taarifa yako, mimi nina familiarity kubwa sana na state university systems za Marekani ambavyo vinatumia sana hiyo format katika majina ya constituent universities zilizomo ndani ya kila university system.

Hebu basi limalize hili kwa kutupa mifano ya solitary universities and colleges zetu zinazotumia hiyo format!
 
Je kwako wewe ina maana kuwa majina ya universities za Tanzania ni tofauti na majina ya universities za nje? Unadhani majina yanayotumiwa na Dar es Salaam ndiyo standard wakati mfumo huo unaotumiwa kwetu bado nao umekopiwa nje ya nchi, lakini sasa unajidai hutaki kutumia mifumo mingine ya majina inayotumiwa huko. Angalia tulivyokopi:

(1)University of Dar es Salaam ni kopi ya mfumo kama wa University of London
(2) Dar es Salaam Institute of Technology ni kopi ya mfumo kama wa Massachusetts Institute of Technology
(3) University of Dodoma ni kopi ya mfumo kama wa University of Ottawa
(4) Mzumbe University ni kopi ya mfumo kama wa Montpellier University

Kama tulikubali mifumo hiyo, kwa nini huu mfumo wa Chaminade University of Honolulu wewe uuone haufai. Siamini kuwa wewe unajua namna ya kudesign majina ya vyuo kuwazidi hata hawa hapa chini ambao wanakiita chuo chao "Queen Margaret University, Edinburgh" na wala hakuna chuo kingine chochote duniani kinachoitwa Queen Margaret University.
 

Edinburgh sio sehemu ya official name ya hicho chuo! Unanishangaza unavyozidi kupoteza muda na vyuo ambavyo you have no meaningful knowledge about. Leave those institutions alone!

Wewe kama huna mifano ya majina ya solitary universities and colleges zetu yanayotumia format hiyo unayotaka, sema hivyo. Usipoteze muda kwa kuleta hoja ambazo sio relevant hapa!
 
Usikimbie kivuli chako ndugu yangu; umechangia sana kuwa vitu irerevant kwenye thread hii!

Unapojadiliana na watu usiojuana nao kuwa makini, usidhani unajua kuliko wao. Mojawapo ya faida kuu za mijadala ni kubadilishana mawazo siyo kubishana; jitahidi sana umwelwe mwenzako anaongea nini kabla ya kumjibu. Kusema kuwa jina fulani jina hilo " illogical" ilikuwa ni satatement ya mtu asiyejua maana ya logic, na sikulileta hilo mapema kusudi labda tutafue common ground Logic yoyote huunganisha premises and conclusions na kuona vinaendana au la jambo ambalo halikuwapo hapa. Jina halina kipande cha sentensei ambayo ni premise na kipande ambacho ni conclusion kuweza kujudge logic yake. mahakamani, mshitaki huwa analeta conclusions, halafu ananalets ushahidi kujenga premise na mwisho hakimu anatumia uwezo wake kuangalia logic ya kesi hiyo kwa kulingansiha premises na conclusions ndipo anatoa hukumu.

Kwa makosa yako ya kutokujua maana ya neno illogical, sasa hivi kila ukipewa mfano unaukimbia; sijui unataka tukupe mifano wa St Augustine University au Ruaha University, ambayo nayo utashangaa kuwa majina yake yamechukua mifano hiyo hiyo ya vyuo vya nje.

Usiwe mmoja wa watu wanaotafuta vitu trivial na kugangamala navyo hata kama hawavijui vitu hivyo na mwishowe kuondoka nje ya mada yote. Hapa ni kubadilishana na kupeana mawazo tu; siyo uwanja wa mashindano ya kutafuta mshindi.
 

Ukitangatanga sana utaingia kwenye fields ambazo huwezi hata kuchangia in any meaningful way. Bora tu ubaki kwenye comfort zone yako. Unanishangaza unapoanza kutoa lecture juu ya “logic” huku ukiwa na kipande kidogo sana cha knowledge ya “logic”. Obviously, hujui kuwa kuna utitiri wa aina za “logic” na kwamba maana iliyokusudiwa inategemea zaidi context! Kukariri kutusaidie kufaulu mitihani tu; real life haiendi kwa kukariri vitu.

Inakuwaje unakuja na mifano (Ruaha University na St. Augustine University) ambayo haiwezi hata kukusaidia katika case yako ya “Kikwete University of Dodoma”? It’s so obvious! Ina maana wewe huoni kabisa kwamba hii ni mifano ambayo haikusaidii?

Tuletee mifano ya vyuo vyetu inayosaidia kujenga case yako. Kama huna hiyo mifano, sema hivyo!
 
Hapa mnabishania kitu kidogo sana sema kinaonekana kikubwa sababu mnaongea kizungu

Mwenzio anasema ukisema KIKWETE UNIVERSITY OF DODOMA ina Maana Kuna KU zaidi ya moja
Hivyo nilifikiri alitaka kusema iitwe KIKWETE UNIVERSITY tu pasiwe na mambo ya OF wala AT

Kama sijakosea
 
Kwanini ni lazima neno Dodoma liwepo?Kama kuna ulazima wa Dodoma iwepo acheni kilivyo
 
Unajua hapa kuna watu wengine wana communications skills ndogo sana halafu huwa wanajadili mada wakiwa na mindset fulani ya kubishana tu.

Hiyo hoja ya kusema kuwa kusema hivyo ina maana kuna vyuo vingi vya Kikwete siyo ya kweli, ndiyo maana nikampa mifano ya majina ya vyuo vingine vyenye mfumo huo ambavyo siyo vingi. Kwa mfano angesema tu kuwa hakuna haja ya kubananaisha majina mawili kwenye chuo kimoja, ni afadhali ama kibaki University of Dodoma au kiwe Kikwete University lakini tusitumie majina yote mawili; tungejadiliana. Mtu akianza kuwa wewe hujui , na akaanza kukazana na vitu trivial basi mtu anakuwa matatizo fulani kichwani. Na usipomjibu basi anaacha footprint ya upotoshaji kwenye mada.
 

Communication skills zako za “my-way-or-the-highway” ndiyo unaziona kuwa communication skills kubwa?

Umerukiarukia sana vyuo vya nje ambavyo you know virtually nothing about, huku ukishindwa kutoa mfano hata mmoja wa vyuo vyetu (unavyovijua kwa kina na vinafahamika vizuri kwa wasomaji wako) ambao unakusaidia kwenye case yako ya “Kikwete University of Dodoma”!
 
University of Oxford
Cambridge University
Beijing University
University of Dar es salaam

Sidhani kama ni lazima au itapendeza zaidi UDOM kuitwa jina la mtu, ila kikianzishwa kingine na kikapewa jina la Kikwete at go nayo si mbaya pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…