Landrover defender pickup for sale

Bob Nash

Member
Joined
Aug 21, 2009
Posts
64
Reaction score
0

bei 5.5 milion, mazungumzo yapo, inatembea na iko katika hali nzuri, mawasiliano kwa atakayelihitaji, 0654633109, 0754632291, 0686716761
 
Mzee, hii ngoma imepiga mzigo miaka mingapi? Hebu tuwekee wasifu wake tuangalie kama tunaweza kuongea biashara. Hii nzuri sana huku kwetu kubebea maboga ya kulisha wadudu!
 
ee bana mi sio mtaalamu sana wa hio mavitu, ila kwa ufupi ni gari ya 1994, defender 110
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…