Ameen!Eeee MUNGU wa Mbinguni nakuomba wahurumie hawa watoto wetu waache hii tabia ya kutumia madawa ya kulevya, MUNGU nakuomba usikie kuomba kwangu.
ilikua coca cola popstars..dah huyu mshkaji namkumbuka kwenye ile east african nini sijui,walishinda watatu waka form a music group then wakajiita Wakilisha kama sikosei.aise he really needs help.But,what kind of drugs is he abusing?Kwanza inabidi aondolewe kwenye hiyo 'trigger zone',kisha atafutiwe psychotherapist mzuri na ikiwezekana apigwe ma 'antedotes'
maskin kumbe ndio huyu,sasa kasema ameacha?ilikua coca cola popstars..