upeo wa madawa huo ndo unamsukuma aseme hivyoSikubaliani na upumbavu wa huyo kijana mjinga!
Hatakiwi kufananisha mwalimu mkuu na madawa ya kulevya, ni upunguani uliobobea huu!
Anyway, labda ndiyo upeo wake!
Msanii maarufu wa bongoflaviour Langa Kileo "Langa" ameyafananisha madawa haramu ya kulevya kuwa ni kama mwalimu mkuu kwani hukufundsha kila k2 ktk maisha.Langa ameyasema hayo ktk kipindi cha njia panda kinachorushwa na clouds fm.Langa ameelezea mengi zikiwemo sababu zilizomfanya a2mie madawa hayo haramu ila kwa sasa amekiri kuwa ameacha kutumia.Naomba kuwasilisha
kama kweli kaacha, nadhani bado mawenge ya hayo madawa yanamsumbuaupeo wa madawa huo ndo unamsukuma aseme hivyo