Mlisema lamu port itakua ndovu mweupe... Sasa hivi Raisi wa ethiopia yuko lamu akija kuandika mkataba wa kutumia lamu port... Washafungua moyale one stop boarder portTangu Kibaki hii maneno inaongelewa!
Ati uhuru amesema akienda likizo madaraka yake yakasimiwe na odinga. Ni kweli? VP ana role gani sasa hapo kenya?View attachment 1645591
Raila on one side, Uhuru on the other side. PM Abiy in the middle. This picture was taken during the Lamu port visit today.
wewe umeingia humu November 29 unajuaje nani alisema nini?Mlisema lamu port itakua ndovu mweupe... Sasa hivi Raisi wa ethiopia yuko lamu akija kuandika mkataba wa kutumia lamu port... Washafungua moyale one stop boarder port