Project inaezaje kufa kabla ujenzi kukamilika?
Bara bara ya kuelekea S.Sudan inajengwa
He's literally Crutching at strawssasa umeruka kutoka kufa sasa ni jua kali
The road is under construction sahii tunavyo ongea!Hii embarkment imekaa kijua kali!!
Imekuwa Lamu Port Garissa Transport (LAPGAT) badala ya Lamu port South Sudan Ethiopia Transport(LAPSSET)! Tembo mweupe manifesting itself βοΈ βοΈ π€£π³βοΈβοΈ!Kumbe unafuatilia mradi huu? πππ
Ulisema kwamba ujenzi wa port yenyewe hautakamilika mwaka huu. Wacha tutaona nani mwongo kati yangu na wewe.Imekuwa Lamu Port Garissa Transport (LAPGAT) badala ya Lamu port South Sudan Ethiopia Transport(LAPSSET)! Tembo mweupe manifesting itself βοΈ βοΈ π€£π³βοΈβοΈ!
so upo sure na this date? Ni ya ngapi?Ulisema kwamba ujenzi wa port yenyewe hautakamilika mwaka huu. Wacha tutaona nani mwongo kati yangu na wewe.
Nipo 100% sure na date ya mwishoni mwa mwaka huu. Hio ni date yangu mwenyewe. Halafu nazungumzia ujenzi wa port pekee na wala sio ununuzi wa cranes au ujenzi wa barabara.so upo sure na this date? Ni ya ngapi?
Halafu hii Lamu port ndio the biggest green field port construction in the entire history of Africa. Meza wembe kama hupendi fact hio.Nipo 100% sure na date ya mwishoni mwa mwaka huu. Hio ni date yangu mwenyewe. Halafu nazungumzia ujenzi wa port pekee na wala sio ununuzi wa cranes au ujenzi wa barabara.
Mwishoni mwa mwaka huu ujenzi wa port utakuwa umekamilika.
We don't get to see this kindly of coverage in the main stream news?JICA's coperation with Kenya in regards to building Mombasa port
Mainstream news wako na ujinga. They can't cover such development related news. Wao kazi yao ni siasa tu usiku na mchana. I don't watch Kenyan news nowadays coz I find it boring.We don't get to see this kindly of coverage in the main stream news?
maendeleo gani miaka 10 kitu hakijaisha!?Mainstream news wako na ujinga. They can't cover such development related news. Wao kazi yao ni siasa tu usiku na mchana. I don't watch Kenyan news nowadays coz I find it boring.
Nimekuambia tayari mwaka huu ukiisha bila hio port kukamilika nitatoka JF.maendeleo gani miaka 10 kitu hakijaisha!?