Computer4Sale Laptop 'Dell Inspiron N5040' safi kabisa! - used.

kayanda01

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2014
Posts
1,216
Reaction score
1,062
Wakuu heshima kwenu nyote.

Kama title ya uzi huu inavyojieleza... mashine naiweka sokoni. Ni 'DELL INSPIRON N5040', kitu genuine kabisa. Mali yangu halali.

SPECIFICATIONS:



EXTRA SPEC's:

- Hard Disk … 465 GB
- HDMI Port
- USB Ports … 3
- VGA Port
- Ethernet Port
- Card Reader
- DVD/CD Rom…. RW
- Webcam
- Built-in Mic
- Wireless network
- Bluetooth
- Valid licensed Anti-Virus… Bitdefender 2017
- Color …. Black
  • Battery power-saving (kwa sasa) .... 1 hour unplugged.
  • Power cable… IPO.
  • Manual booklet ... IPO.
  • Drivers CD …. IPO.
  • Receipt… HAIPO. Misplaced. (Tutafanya mauziano rasmi, sio kienyeji)
  • Laptop ni genuine kabisa, ilinunuliwa brand New! Imetumika miaka mitatu kwa light works.
  • Laptop bado ipo katika hali nzuri sanaaa. Haina tatizo lolote wala mkwaruzo wowote. Ni kuchukua na kuanza kutumia right away.
BONUS:
  1. Intex Wireless Mouse
  2. 3G Modem Airtel
  3. 3G Modem Tigo.

PICHA halisi...







BEI... Sasa twende kwa style ya mnada. The higher bidder ndiye atachukua mashine. Bidding ianzie Tsh 400,000 kwenda juu. Mnada ufanyike hapa hapa sebuleni.

Ahsanteni wandugu. Serious buyers karibuni sana. Nipo Dar es salaam.
Barikiwa sote.
 
Hiyo nikupe laki mbili tuu,,,kama upo tayari nicheki nipo Tabata sanene hapa
Hizo modemu sizitaki
 
Hii ni outdated. Bei yake laki 2
 
Mi nilikuwa na 150K kwa kuwa ni mnada wameshanipiga bao.wakishindwa hao wa laki 2 nicheck
 
Hii ni outdated. Bei yake laki 2

Kumbe ni outdated ! Basi wacha niwape watoto wajifunzie na kuchezea.

'' I won't insult your intelligence by suggesting that you really believe what you just said.''
 
Mi nilikuwa na 150K kwa kuwa ni mnada wameshanipiga bao.wakishindwa hao wa laki 2 nicheck

hahahaa pouwa mkuu wangu. mnada unaendelea mpaka na PM, kwakweli kwa hiyo amount yako wamekupiga bao wengi sana tena mbaaali. pamoja boss
 

180,000 ?!!! kanunue sayona unywe uongeze sumu mwilini
 
Hiyo nikupe laki mbili tuu,,,kama upo tayari nicheki nipo Tabata sanene hapa
Hizo modemu sizitaki

nenda kanunue ya kichina. yapo mengi tu, tena kwa hiyo pesa yako utapata 'brand New' pale k/koo.
 
duuh.., mimi nilinunua kama hiyo ila ilikuwa na processor kubwa zaidi mwaka 2012 kwa Sh. 900,000/=, mpaka leo 2017 bado iko vizuri na napiga nayo mzigo, ni nzuri sana hizi N5040
 
260 nakupa
 
duuh.., mimi nilinunua kama hiyo ila ilikuwa na processor kubwa zaidi mwaka 2012 kwa Sh. 900,000/=, mpaka leo 2017 bado iko vizuri na napiga nayo mzigo, ni nzuri sana hizi N5040

ni kweli mkuu. hizi dell N5040 ni mashine za uhakika, hasa ikiwa genuine. Mimi hii ya kwangu pia niliichukua brand new kabisa, nimetumia karibia miaka mitatu lakini ukiiona live waweza dhani imetoka dukani hivi karibuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…