Laptop for sale

Van l

Member
Joined
Jan 20, 2012
Posts
74
Reaction score
12
harddisk 500; Ram 2gb web cam ,Dvd super mult dl drive,Hd graphics,kwa shilingi 300000 tu, bado mpya haijatumika mda mrefu na haina tatizo llote,
 
Kuna uzi mmoja kauleta hakisoni kuna Laptop yaMjeshi imeibwa kwao wamekula bakora mtaa mzima...
 
Last edited by a moderator:
Ni pm tuongee biashara kama bado hujapata mteja..
 
Laptop ya mjeda wa kitaa cha kina hakison hyo! Just kiding ninja!!
 
Kuna uzi mmoja kauleta hakisoni kuna Laptop yaMjeshi imeibwa kwao wamekula bakora mtaa mzima...

Tehe tehe tehe..
Ubaya wa wajeda huwa wanakupa kichapo wewe kwanza uliyenunua kisha ndo wanakuja kwa mwizi mwenyewe.
Beware of dogs. Philipians 3:2
 
harddisk 500; Ram 2gb web cam ,Dvd super mult dl drive,Hd graphics,kwa shilingi 300000 tu, bado mpya haijatumika mda mrefu na haina tatizo llote,
mkuu nicheki kwa namba 0717 022737 tufanye biashara
 
mkuuu hebu sema imetengenezwa na kampuni gan!?????
harddisk 500; Ram 2gb web cam ,Dvd super mult dl drive,Hd graphics,kwa shilingi 300000 tu, bado mpya haijatumika mda mrefu na haina tatizo llote,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…