jameson567
JF-Expert Member
- Mar 14, 2018
- 536
- 3,289
Based on specifications usiuze chini ya laki 4Nauza laptop HP ProBook 650 G3, Ina RAM 8Gb, hardDisk 128 SSD, Screen size 15.6 haina Scratch. Inakaa na charge masaa 4. Ina windows 10 Pro. Bei na laki 4(400,000)maongezi yapo. Ninapatikana Mwenge - DSM. Nicheki 0655113290. Nimeambatanisha na picha.View attachment 2746545View attachment 2746546View attachment 2746549View attachment 2746551
Tulia acha kuharibu biashara bhna 🤣🤣🤣Based on specifications usiuze chini ya laki 4
Simamia hapo hapo
Au Kama inatatizo lingine la kiufundi
Tuwe fair Wana jfTulia acha kuharibu biashara bhna [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimekuelewa kiongozi.., nilikuwa nitoe elfu 10 ya kumpelekea alipo kama ni DarBased on specifications usiuze chini ya laki 4
Simamia hapo hapo
Au Kama inatatizo lingine la kiufundi
Hahaha just kiddn bhnaTuwe fair Wana jf
Hii ni platform ambayo sometimes tunaishi Kama ndugu
Sio fb au Instagram hii
[emoji120]
Kama upo serious nicheki Whatsapp 0762113290Mwisho ngapi
Bei yako ya mwisho ni ngapi mkuuKama upo serious nicheki Whatsapp 0762113290
Mkuu upo sahihi ila wakati mwingine bei inategemea na namna mtu alivyopata kitu na uharaka wa pesa, tangu juzi mpaka dakika hii hata hiyo 400 niliyosema hakuna aliyenicheki Whatsapp wala kunipigia. Kwahiyo beiMkuu na mimi naomba kuongezea kuwa 7th Gneration Pc tena ya Corei7 au wanaiita koby lake ...ungeongeza kidogo bei hata 450 na kuendelea Maana dukani zinafika mpaka 850 mpka mil
Mkuu mte utampata tu, tangaza pia kwenye WhatsApp groupsMkuu upo sahihi ila wakati mwingine bei inategemea na namna mtu alivyopata kitu na uharaka wa pesa, tangu juzi mpaka dakika hii hata hiyo 400 niliyosema hakuna aliyenicheki Whatsapp wala kunipigia. Kwahiyo bei
ya kitu yaweza kuwa chini bado watu wakawa hawana ela. Lakini nashukuru kwa ushauri mkuu.