Laptop inahitajika haraka sana pesa iko mfuko wa shati

Braibrizy

Member
Joined
Apr 6, 2014
Posts
29
Reaction score
548
Habarin wanajukwaa, Nahitaji laptop aina ya Hp au Dell kwa matumizi ya ofic, sifa betri iwe inakaa na chaj, hdd haimati kabsa..!

Bajeti yangu ni sh laki 3.5 - 4 kamil

Napatikana Dar es salaam
 
HP 210 G1 notebook
HDD 320GB
RAM 4GB
Processor i3 @ 1.70 GHz

refer picha ya kwanza
 
Ww jamaa kweli mzalendo. Jamaa amefika mpaka laki4 ukaamua kumuuzia kwa laki3. Nikija kigamboni takutafuta tukae pale nolasko
Sehemu hizo huwa sihudhulii mkuu...Asante sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…