Mkuu samahani... Unahitaji scrapers? I thot utatoa specs muhimu za laptop unayohitaji but naona umeishia kwenye kilo tu.... Anyways kuna mzigo umeshuka wa laptop kama utafanya subra kidogo itakuwa vizuri.
Mkuu kwa kiasi chako ulichoweka hapo sidhani kama utaweza kupata laptop ambayo ni nzima na yauhakika , ila nachokuomba kama utaweza kuongeza tsh 35000, naweza nikakuuzia laptop yangu acer aspire 5532 ambayo ni used lakini ipo vizuri sana na haijatumika sana, kwa maelezo zaidi tuwasiliane kupitia 0752490238
mie nauzab Toshiba Sattelite...ina Webcam, ni dual core 2, Ram 2 GB, processoer ni 1.3 Ghz na ina AMD graphics card
Imetumika kwa muda wa mwezi mmoja tu kama unahitaji ni PM au piga 0763925535 Bei 550,000 cash