Laptop inauzwa bei nafuu HP probook 350,000/

Laptop inauzwa bei nafuu HP probook 350,000/

J Mbungi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2010
Posts
269
Reaction score
74
Wapendwa Wana jamvi,

Nimeamka na dharura ya kumsafrisha mgonjwa na Mambo yangu siyo mazuri.

Nalazimika kuuza laptop yangu( Kama unaweza nisaidia kupata mtu wa haraka wa kuniokoa)

Walau kufikia jioni niwe nimepata mteja.

Specifications za laptop"
👉HP probook
👉Hard disck 400GB
👉Processor graphics GHz 2.10
👉RAM 4GB
👉Good looking
👉BEI 350,000/ TU!
hii laptop nilinunua 800K na ninayo miezi 6 tu!

NIPO DAR - kwa mawasiliano piga simu au normal text +255784355775
IMG_20201129_215636_656.jpg
IMG_20201129_215624_708.jpg
IMG_20201129_215645_977.jpg
 
risiti zake unazo?kuthibitisha umeinunua miezi sita iliyopita?
 
Back
Top Bottom