John Reese
Member
- Nov 19, 2018
- 38
- 63
Mimi nahitaji laptop ila toa maelezo ya ziada Kwa nini unauza na Je uliinunua ikiwa used Kwa mtu au kampuni? Risiti ipo?Habari! Nauza laptop kwa bei poa
Hp Elitebook (used kwa miezi 6)
Ram 8gb
Hard disc 500gb
Processor core i5 ,cpu 2.6ghz
Bei 500 ,000/=(kuna maelewano pia) contact 0752 666 539 mwanzaView attachment 2675783
Iko vizuri boss , nauzia shidaTatizo sio kutumika Kwa miezi 6 bali Ina shida gani Hadi unaamua kuuza?
Kwa haraka waweza sema hivyo, ila kwa specifications zake haupo sahihiUkikutana na mjinga utampiga ila kwa uhalisia haitakiwi kuzidi 300k
Nilinunua kwa kampuni mkuu , kwasasa sina risitiMimi nahitaji laptop ila toa maelezo ya ziada Kwa nini unauza na Je uliinunua ikiwa used Kwa mtu au
Tatizo lako ujuaji hiyo ni low end kabisa, ndo maana nikasema tafuta wasukuma uwauzieKwa haraka waweza sema hivyo, ila kwa specifications zake haupo sahihi
500k unapata SSD safi
Hahaa sawa bossTatizo lako ujuaji hiyo ni low end kabisa, ndo maana nikasema tafuta wasukuma uwauzie
just Google tu neno SSD v.s HDDTupe tofauti
Ssd
Hdd
Nimeshaiuza mkuu.Mkuu ni gen ya ngapi?
Punguza ujuaji dogojust Google tu neno SSD v.s HDD
kiufupi SSD ipo faster san kuliko HDD
Ndo maan Gaming PC zinatumia SSD