BABA BOMBASTIC
Senior Member
- Jul 10, 2024
- 146
- 246
Habari
Laptop kali sana hii ni mpya kabisa,inakaa na charger siku 2 kutegemeana na matumizi yako, hii inafaa kwa wale wa video production,graphic,music production na ma engineer woe wa mijengo
Specification zake hizi hapa
Processor:- 12th gen intel (R)core (TM) i7-1255u 1.70 ghz
Ram:- 8.00 GB
HARD DISK:-500
PEN AND TOUCH hii ni screen touch...
Audio:-dolby audio
Charger:-thunderbolt very fast 15 minutes imejaa full
Inchi 15 aspect ratio.
View attachment 3100364Habari

Mbona sijaandika beiLaki 8 nyingi kaka punguza
Amekata kabla ya Kona.Mbona sijaandika bei
Million 1 na.laki 9Unakumbushwa kuandika bei kama unauza, Aidha unagawa bure ndo maana hujaweka bei bayana
Ndo hiyo ssd mkuuMbona kama umetoa ssd umeweka hdd?