Parable Mk
New Member
- Mar 1, 2023
- 4
- 2
Nimeiona ila display screen kwangu imekuwa kubwa.Mesorphine π€π€
Poa poa.... ππ€βοΈNimeiona ila display screen kwangu imekuwa kubwa.
Ingekuwa 13.5 au 14 inchi nahis ningemcheki
HahaaaaaNimeiona ila display screen kwangu imekuwa kubwa.
Ingekuwa 13.5 au 14 inchi nahis ningemcheki
Nilikua nataka kukutag,ulikua unataka mashine ya hiviPC nzuri, Bei nzuri, Accessories nzuri.
Wenye pesa waione.
Ndio kaka. RAM 16GB na 1TB zingenisaidia. Imenikuta broke tu vNilikua nataka kukutag,ulikua unataka mashine ya hivi