Top kabisa laki 3Uza laki 2 kama haikai na chaji.. hio sio desktop
Mkuu uza bei pungufu zaidi, angalau 250kTop kabisa laki 3
If you are interested nichek kwenye namba yanguMkuu uza bei pungufu zaidi, angalau 250k
inakaa na moto dakika ngap
Haikai na charge kama tangazo linavyosema
betri yake ni removable? kwamba hata mtu akiinunua anaweza kuibadilisha?Haikai na charge kama tangazo linavyosema
Yes ni removablebetri yake ni removable? kwamba hata mtu akiinunua anaweza kuibadilisha?