Computer4Sale Laptop inauzwa

mimiamadiwenani

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2022
Posts
5,718
Reaction score
7,784
Sabato njema!

Ni HP, HDD ni 500GB, CPU ni 2.4 GHZ, RAM ni 8GB.

NB: Haina tatizo lolote isipokuwa battery yake haikai na chaji zaidi ya dk 30.
Location ni DSM.

Nataka niongeze hela ninunue mpya ndugu zangu!
 
Sabato imekwisha mkuu.
Ingekuwa icore kuanzia 3 ningekupa mteja ila hiyo labda wanachuo.
 
Mkuu hebu tia nyama kwenye tangazo lako. Mbona unaweka taarifa nusu nusu?
Weka bei, picha na angalau ni gen ya ngapi?
Regards
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…