Laptop Inauzwa.

Laptop Inauzwa.

mr man city

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2015
Posts
467
Reaction score
319
Wakuu nauza Laptop yangu Hp Probook.
-kipengele ni betri pekee..kwahiyo ni kama pasi lazima kuwe na umeme ndio iwake. Betri ilikuwa sawa tu ila ndio naitumia hivyo hivyo. Nataka kujazia ninunue nyingine kubwa zaidi yake pia.
-inafaa kama unatumia kwa stationary, kwa mwanafunzi wa chuo maana mimi nimeitumia nikiwa nakomaa na chuo pia.
-nipo Arusha, ndio rahisi zaidi kukutana ukague kabisa. Ni PM tu tupeane mawasiliano ikiwa unaihitaji.

-Bei 290,000/=View attachment 2789465View attachment 2789466View attachment 2789468View attachment 2789467
20231022_180735031.jpg
 
Sasa mkuu mbona huweki specifications za hiyo pc au hadi uulizwe? Ukitangaza biashara weka taarifa zote muhimu ili kuondoa usumbufu.
 
Sasa mkuu mbona huweki specifications za hiyo pc au hadi uulizwe? Ukitangaza biashara weka taarifa zote muhimu ili kuondoa usumbufu.
Specifications ninazozifahamu nimeweka picha zake. Mimi sio mtaalamu sana wa pc pia. Matumizi yangu sio mengi sana na pc.
 
Back
Top Bottom