Computer4Sale laptop lenovo slim inauzwa

pamjela

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2016
Posts
393
Reaction score
716
Intel celeron N2840 2.16ghz
4gb ram DDR 3
500GB HDD
1.5gb graphics
5hrs battery
Problem touchpad ina wenge
Inatumia zaidi mouse ya nje
Ila ni nzima kila idala na inafanya kazi vizuri


Bei 320000/=
0777039477
 

Attachments

  • 20180428_155835.jpg
    140.9 KB · Views: 76
Reactions: SIM
Mkuu pc mbovu bado unataka hela hiyo
Nina 200000 nipm tuongee biashara.
 
Mkuu pc mbovu bado unataka hela hiyo
Nina 200000 nipm tuongee biashara.
Sijakuelewa ubovu wake ni nini au kuweka wazi kuwa touchpad inasumbu ndo uhisi ni mbovu touchpad inafanya kazi
ila wakati mwingne inagoma hivyo nikaweka angalizo ifahamike ili kama kuna atakayeridhika na kutumia na EXTNAL MOUSE sawa tutaongea bishara kama wewe hapo ulivyoridhika na condition yake ila kwa laki 2 hapana mkuu aoendi
Ila si kweli kuwa ni mbovu
 
samahani mkuu Kama nimekukwaza
 
nishaipiga tayari muda tu
si nimekutumia picha za dell mzee jana na ni kubwa kuliko hii core i5


Hiyo Dell specs zake zikoje???
RAM yake, Processor, Clock Speed na HDD.
Na nataka pia kujua kama ina touch screen na keyboard buttons zinawaka taa kwenye giza..
Pesa ipo, usiwe na hofu
 
Hiyo Dell specs zake zikoje???
RAM yake, Processor, Clock Speed na HDD.
Na nataka pia kujua kama ina touch screen na keyboard buttons zinawaka taa kwenye giza..
Pesa ipo, usiwe na hofu
hiyo dell pitia hapa Laptop Dell Core i5 inauzwa specs na details zote ila sio touch screen na wala keaboad burton hazina taa

ila ninayo lenovo T440s ambayo keoboard buttons zinawaka taa yani kama hivi siyo


ila sio touchscreen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…