SanaaaWeka bidhaa zako zote hapa jukwaani, pamoja na bei. Na utuambie ofisi yako iko wapi. Huu utaratibu wa kutaka kupigiwa simu na kila mtu ili kukuulizia bei ya hizo bidhaa zako, unachosha.
Ulishapata projector?Mtu unafanya biashara halaf unataka siai ndio tupate shida ya kukutafuta tafuta..bainisha kila kitu hapaa...
By the way natafuta projector ya epson bei cheap..Hata uaed poa tuu
HapanaUlishapata projector?
Upo mkoa gani?Hapana