Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,201
- 16,246
Habari wanajukwaa. Husika na kichwa Cha habari hapo juu. Nauza PC ya Aina ya hp. Ni ya kwangu niliinunua dukani sema receipt nime replace. Ukiihitaji tutaandikiana kwa mwenyeketi wa mtaa ama polisi uwe na amani.
Ina materials Kama yote na programs na softwares za Civil Engineering. Haina movie labda na miziki kidogo ya nje kama wewe Ni mpenzi.
Naomba nisielelezee Sana niweke hapa picha zake zitajibu maswali kuwa Ni aina gani ya pc specs zake.
Niko mwanza kwa saivi.
Bei yake Ni 1.3M TZS.