fuu xkuz
Senior Member
- Feb 5, 2016
- 156
- 208
Wakubwa poleni na majukumu ya kutafuta riziki, naomba kujua kwa wataalamu wa mambo ya kompyuta,je? Laptop yenye spesification hizi inafaa(inaweza) kucheza magemu heavy na kufanya kazi kubwa zinazolenga kufanywa na vyombo kama hiki? _inter(R) core TM i7-7500u CPU@ 2.70 Ghz. -RAM 8GB, HDD 1TB, GRAPHIC 4GB. Natanguliza shukrani kwa wote watakao toa mawazo yao ya kitaalamu katika hili.....Ahsanteni sana.