JAMII BORA
Member
- Apr 18, 2017
- 78
- 58
Hatuna kwa sasamimi nataka cpu hdd kuanzia gb 500
ram kuanzia gb 4
core kuanzia i5
Ndio maana nikamuuliza tena
Hauna PC slim.Wale woote wanaohitaji laptop za kuanzia laki mbili na nusu, zimekuja zipo pc 3
Sifa zake ni: hdd 80,ram 2gb,3 hours battery, warranty one year, bei tzs 250,000
Tupo Kariakoo , pia tuna tawi mbezi mwisho stand. Pia unaletewa ulipo Dar es salaam na mikoani tunatuma.
Piga :0713 03 98 75 kuwahi ofa hii
View attachment 1419776View attachment 1419777
View attachment 1419775