Laptop za Lenovo au Asus

pandagichiza

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2013
Posts
6,524
Reaction score
4,928
Wapi zinauzwa hizi laptop hapo dar?nasikia ni cheaper kulinganisha na zingine kama dell Toshiba Apple n.k
 
Dar kubwa kaka....vizur utusaidie sehemu na bei zake!mazima
 
Dar kubwa kaka....vizur utusaidie sehemu na bei zake!mazima

Kuna duka lipo barabara ya Morogoro karibu na junction ya Samora, ni jirani na duka kubwa linauza vifaa vya umeme.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…