Laptop zimewasili na Offer ya bure ya Software ya Research

Laptop zimewasili na Offer ya bure ya Software ya Research

Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
1,414
Reaction score
2,181
Drone Logistic tumekuwa tukiwasaidia watanzania ushauri bure juu ya bidhaa bora toka nje ya nchi na jinsi ya kuziagizia kwa ufanisi. Safari hii,tumeamua kukuletea Computer kwa bei nafuu. Kwa sasa tumeleta computer zifuatazo:

1. Lenovo ya kuzungusha screen. Sifa: Hard disk 160GB, ram 4 gb,zinakaa na chaji masaa 3 ukiwa mbali na umeme, zinatumia wi-fi ya simu kupata internet, zina warranty ya mwaka mmoja. Bei 320,000 (Laki tatu na ishirini elfu tu).

2. Asus yenye camera. Sifa: Hard disk ssd 64GB, ram 2 gb,zinakaa na chaji masaa 3 ukiwa mbali na umeme, zinatumia wi-fi ya simu kupata internet, zina warranty ya mwaka mmoja. Bei 370,000 (Laki tatu na sabini elfu tu).

3. Dell E6410. Sifa: Corei5, Hard disk 250GB, ram 4 gb,zinakaa na chaji masaa 3 ukiwa mbali na umeme, zinatumia wi-fi ya simu kupata internet, zina warranty ya mwaka mmoja. Bei 390,000 (Laki tatu na tisini elfu tu).

Tupo kariakoo mkabala na China Plaza.Pia unaletewa na tunatuma mikoani.
..Piga simu:0713-039 875 au 0742- 499 177


OFA YA BURE KWA KILA COMPUTER
Software ya kukuwezesha kuandaa ripoti ya data za miaka 50 au zaidi na graph zake bila kuhitaji ujuzi wa hesabu huku ukitumia muda mfupi iitwayo E-Views (Ambayo ni latest ya SPSS).

Vitabu vitano vya ujasiriamali bure kwa mteja, navyo Ni:
1. Miongozo ya kilimo biashara kwa mazao yote,

2. Tengeneza sabuni ya mche bila kutumia mashine
3. Ufugaji bora wa kuku asili (Jinsi ya kuanza na kuku kumi (10) na kupata kuku 120 kwa mwaka kwa njia ya kulea mwenyewe vifaranga)
4. Jinsi ya kutengeneza mkaa mbadala bila kukata miti
Piga simu:0713-039 875 au 0742- 499 177

WhatsApp Image 2020-10-01 at 5.16.22 PM.jpeg
WhatsApp Image 2020-10-01 at 5.16.40 PM.jpeg
WhatsApp Image 2020-10-01 at 5.16.50 PM.jpeg
WhatsApp Image 2020-10-01 at 5.18.30 PM.jpeg
WhatsApp Image 2020-10-01 at 5.18.50 PM.jpeg
WhatsApp Image 2020-10-01 at 5.19.08 PM.jpeg
WhatsApp Image 2020-10-01 at 3.48.12 PM (1).jpeg
WhatsApp Image 2020-10-01 at 5.18.03 PM.jpeg
WhatsApp Image 2020-10-01 at 5.18.13 PM.jpeg
 
Back
Top Bottom