Computer4Sale Laptop zinauzwa kwa bei nafuu sana

Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
1,414
Reaction score
2,181
Tuna ofa ya laptop mpya kwa Africa, used in u.S.A, bei zipo ofa toka laki 4 kwa wikiendi hii tunauza laki 3 tu. Sifa zake: hard disc 320GB, RAM 4GB, ina camera, 3 hours battery na inasupport wifi ya simu kwa internet na warranty one year. Tupo kariakoo jirani na china plaza. Unaletewa ulipo. Pia tunatuma mikoani.

Wahi ofa hii kwa kupiga au WhatsApp namba: 0713039875

WhatsApp Image 2020-03-28 at 5.18.26 AM (2).jpeg
WhatsApp Image 2020-03-28 at 5.18.26 AM (1).jpeg
WhatsApp Image 2020-03-24 at 3.53.59 PM.jpeg
 
Wewe naye, tangazo la biashara hapo hapo kuna bisi bisi, kichomeleo chake nk nk halafu upate mtejaaaa??? Mteja ashajua hizi ni Spana mkononi na huenda ndio nzile mnanunua mbovu mbovu sasa mmezipiga Spana now mnaziuza.
Be Smart brother pindi inapofikia kufanya Marketing, siyo kwa picha hizo.
Iga kwa wenzio wanaouza Magari, KAMWE HAWEZI PIGA PICHA GARI IKIWA GARAGE KAMA ULICHOFANYA WEWE.
Ni ushauri tuu.
 
[emoji12]

Sent from my Infinix X650B using Tapatalk
 
[emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]
Wewe naye, tangazo la biashara hapo hapo kuna bisi bisi, kichomeleo chake nk nk halafu upate mtejaaaa??? Mteja ashajua hizi ni Spana mkononi na huenda ndio nzile mnanunua mbovu mbovu sasa mmezipiga Spana now mnaziuza.
Be Smart brother pindi inapofikia kufanya Marketing, siyo kwa picha hizo.
Iga kwa wenzio wanaouza Magari, KAMWE HAWEZI PIGA PICHA GARI IKIWA GARAGE KAMA ULICHOFANYA WEWE.
Ni ushauri tuu.

Jr[emoji769]
 
Kizuri chajiuza. Thanks kwa mnaoendelea kutoa oda. Tushakupa warranty ya mwaka, ofisini kwetu tumekuelekeza, wapi shida?
 
Nilitaka kusema hivyo hivyo... Umeniwahi...

Cc: mahondaw
 
Wewe naye, tangazo la biashara hapo hapo kuna bisi bisi, kichomeleo chake nk nk halafu upate mtejaaaa??? Mteja ashajua hizi ni Spana mkononi na huenda ndio nzile mnanunua mbovu mbovu sasa mmezipiga Spana now mnaziuza.
Be Smart brother pindi inapofikia kufanya Marketing, siyo kwa picha hizo.
Iga kwa wenzio wanaouza Magari, KAMWE HAWEZI PIGA PICHA GARI IKIWA GARAGE KAMA ULICHOFANYA WEWE.
Ni ushauri tuu.
Mkuu asante kwakuniokoa nilkuwa naingia hv punde
 
Ni vema ukajifunza kwa maoni ya watu. Unapotoa kitu kwenda kwa watu wengi na ukapokea critism, usijilaumu wala kulaumu wenye maoni tofuati, tafuta njia ya kuboresha ili kuondoa maoni hasi!
Muonekano wa nje ni jambo la msingi sana kwa bidhaa, kabla ya kuangalia ya ndani.
Kizuri chajiuza. Thanks kwa mnaoendelea kutoa oda. Tushakupa warranty ya mwaka, ofisini kwetu tumekuelekeza, wapi shida?
 
Stock inaelekea kuisha, nishukuru members. Kutokana na kununua licha ya maoni tofauti tofauti, Naahidi stock ya kuanzia kesho jumatano nitatoa punguzo la elf 10 kwa kila atakayejitambulisha anatokea JF. Karibuni na shukrani kwa ukomavu wenu.
 
Nimekumbuka pia, mkuu wa makumbusho uloshauri tuwasambazie vijana wenye frem walipe kwa installment, wazo lako zuri na nitalifanyia kazi. Kwa kuanzia kila anayenunua laptop moja punguzo la elf 20, kisha ukifika laptop 10, moja installment. Karibuni
 
Back
Top Bottom