Ukitumia laptop kwenye mapaja joto lake linasababisha kupanda kwa kiwango cha joto kwenye makende; na joto likipanda kwenye makende linapunguza kiwango cha mbegu za kiume zinazotengenezwa.
Kwahio sio swala la nguvu za kiume, bali ni utengenezaji wa mbegu za kiume.