Profee Essoree
Member
- Sep 14, 2011
- 36
- 5
kwanza umeme upo wa uhakika au unataka kufikiria vitu vilivyo nje ya uwezo wa kipato chetu..
kwa swala la simu mi naona kama linaongea tu matumizi wanafunzi pia na wazazi ila kwa upande wa laptop kidogo ni nzuri mashuleni lakini kwa shule za kata bado ni kitendawili..
mwisho simu zina nafasi kubwa ya kupotosha mwanafunzi hasa wa sekondari..
Hakuna bwana kwa sasa upo uwezo wa kuzuia hizo tovuti chafu,na vilevile wabongo kama vile hawa washikaji wa Jigambe wamerahisisha kukusanya tovuti zetu za bongo zote,mtu anaweza kuyajua mengi kwa tovuti moja tu,wewe pitia tanzaniakwetu harafu utaniambia!Kibongo bongo wanafunzi wanavyopenda porno movie kutakuwa hamna elimu hapo!
Hakuna bwana kwa sasa upo uwezo wa kuzuia hizo tovuti chafu,na vilevile wabongo kama vile hawa washikaji wa Jigambe wamerahisisha kukusanya tovuti zetu za bongo zote,mtu anaweza kuyajua mengi kwa tovuti moja tu,wewe pitia tanzaniakwetu harafu utaniambia!kwanza umeme upo wa uhakika au unataka kufikiria vitu vilivyo nje ya uwezo wa kipato chetu..
kwa swala la simu mi naona kama linaongea tu matumizi wanafunzi pia na wazazi ila kwa upande wa laptop kidogo ni nzuri mashuleni lakini kwa shule za kata bado ni kitendawili..
mwisho simu zina nafasi kubwa ya kupotosha mwanafunzi hasa wa sekondari..
kwanza umeme upo wa uhakika au unataka kufikiria vitu vilivyo nje ya uwezo wa kipato chetu..
kwa swala la simu mi naona kama linaongea tu matumizi wanafunzi pia na wazazi ila kwa upande wa laptop kidogo ni nzuri mashuleni lakini kwa shule za kata bado ni kitendawili..
mwisho simu zina nafasi kubwa ya kupotosha mwanafunzi hasa wa sekondari..
<br />Kibongo bongo wanafunzi wanavyopenda porno movie kutakuwa hamna elimu hapo!