mi hata hii ya kwanza ni unconfirmed kwangu! labda lara 1 mwenyewe aje aniambie alijifungua lini na mtoto yuko wapi na anaitwa na anaendeleaje na ana miezi mingapi sasa!!
Lara moko anapita kwa ku-like tu wakati fans zake hawaelewi wengine wanashangaa na kukata tamaa!! Wacha tu-assume yupo busy na weekend au rehearsal ya kumteka nyara hubby wa mtu!!!