Lara l live interview on DJ sepetu show!!

Je na maza ako anafanya mapenzi kibiashara kwa mdingi wako!
Je kwa kufanya uko biashara una Mali kiasi gn!
Huwa unatuma hela za matumizi kwa wazazi wako! Na wanajua unazipataje?
Ndugu yko akiwa na mahela, utampa papuchi?

Maza wangu ni zaidi ya biasharaaaa, sababu kwanza maza wangu anafanya kazi serikalini, ila mpaka chumvi ananunuliwa na mdingiiii..

Mali kubwa za kina bakhresaaa na Manji, vidogo tu kuzurura duniani kila kukicha, kula nachotaka, kuendesha, mijengo, cash bank, kwenda anakotaka mda naotaka havinipi chenga kwa kweliii hata pesa ya kufuga mabwana hata wa 5 kama ingekuwa ndo michezo yangu nanoyooo ya kutoshaaa. I can say i am financially independent simtegemei mtu hata mzaziii.

Na ieleweke i am one mazafacking hustlerrrrr kimndumnduku sitegemi papa tu kuendesha maishaaa. Nina vyanzo kibaooo. Kwanza shule nimeenda, magamba ninayo, ila pia na hustle kimjini mjini si mnajua mie mtoto wa Kino clain. Njia njia hizi za kimjini mjini napita sanaaa.

Wazazi wangu wanafanya kazi tena senior positions hawanitegemei mimi hata kidogo. Kwetu kila mtu anakula kwa urefu wa kamba yake. Namshukuru Mungu kwa hilo, kutegemeana haimooo kabisaaaaa. Sema wakihitaji msaada mkubwa nawapa. Wakiomba pesa tunaongelea million kadhaaa maana kumsaidia mtu anaejiweza haombi msaada mdogo hata siku moja. Wanajua nafanya biasharaaa, nimefanya sanaa kazi zaidi ya miaka mi 5, so wanajua pesa sikosi labda niwanyime.

Ndugu zangu hamna mwenye hela ya kunipaaa nimpe papuchi, wote tuna pesa za mboga na wengi wapiga free pumbu tu.
 

Kazi mimi Marshallah nimepata pataaaa, nishafanya kazi kama 5 sijui 6 na inaishia kuachaaa sababu maisha ya kupeana laki 8 sio kabisaaa. Mimi na mipango mikubwaaa , na ni mtu wa matumizi makubwaaa.

Baada ya kumaliza chuo nashukuru Mungu kwa kweli sababu mimi sikwenda chuo kutimiza wajibu au kupata vyeti NIME ELIMIKA, na nashukuru nimefanya masters ya INTERNATIONA BUSINESS, CPA, BCOM corporate finance, zinanisadiaaa sanaaa sanaa kwenye kuuza ronyaaa. Hizi global market nazila viboga mchana kweupeee. Na apply education yangu. Katika marketing na jinsi navoendesha busniess yangu.

Pia ni consaltant so i am still making good money from Academic world. Kwa jinsi nilivo mtoto wa mjini maisha kunila Tako bado sanaaaaaa.

Soko linabagua KI MAKU MAKU vyuoooo. Tena sahii hata UDSM yenyewe haifui dafu. WANATAKA GRADUATES WA UK, USA, INDIA, CHINA, RUSSIA. Hivo yaani. Wanataka global degrees. Wakimtangazia dau mjinga aliesoma huko wanaropoka gross 7m, nenda wewe na degree yako ya Tumaini Iringa wanakula kiboga cha laki 8 gross tena bank kubwa kama CRDB mamaeeeeeeee. Aaaaaaaaaahhhh! Bora niuze ronyaaa kwa nguvu mwanangu afe kipa afe beki lazimaaaaa UK imuhusuuu collage.
 
Unahisi pia bimkubwa ako anamabwana wengine au anagawa FP. Kama ameacha je alipokua kigori huku akiwa na mshua wako alikua anagawa?
Kwan unahisi hakuna wa kupagawa na papuchi yko mpk kufanya lolote akuoa?au hawakuti utamu walioukusudia!?
Je mwanao unamshauri aanze hii biashara itakayomtoa akiwa na umri gani?
 


lara 1 umemjibu kwa ustaarabu wa hali ya juu huyu mdau ingawa aliuliza swali la kumtusi mama mzazi. Mungu akubariki sana. Ila watu waache mambo ya kuwagusa wazazi wetu kwa matusi na kashfa.
 
aya mama
una mpango wa kuolewa na kuwa na familia?
 
Short history yangu ni kwamba napenda pesa, napenda mambo makubwa, sijibaniiii, napenda raha. Adui namba moja wa Free Pumbu. Sina mengi sanaaaa kama unga wa ngano. Ni hayo tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] makofi tafadhali
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Swali alishawawahi kupiga mzinga....??? Unapopiga zinga ukachomolewa unajisikiaje Je anaifahanu shuntama alishawahi kuitumia how come kwa aliyepigwa kipapai iko bado wapo nae.....????

Mimi sipigi mzingaaa. Kuhudumiwa ni part and parcel ya mahusiano yetu you cant separate the 2. Mimi sipwei maneno hata siku mojaaa.

Shuntama siifahamu, na mimi siwangiiii kabisaaa. Mwenyewe libwata toshaaa, nikisema nipulizeee si nitauaaa kabisaaa. Na mapenzi ya kumroga mtu sio mapenzi. Isitshe bwana wangu wa kudumu ni MKINGA namroga vipi kwa mfano wakati yeye mwenyewe mwanga sio kidogooo.

Mtoto tu wa 1987 ana semitrella kama 10. Japo sio mhongaji sanaaa, ila anajitahidi na ukinga wake. SEma ndo ana mabalaaa sio ya nchi hiii. Tuishie hapa kabla sijajiua nguo zaidi.

Mkinga waziri mkuee, ila wizara za mambo ya nje kama kaiwaiadaaa. Akimwaga mboga namwaga ugali.
 
lara 1 umemjibu kwa ustaarabu wa hali ya juu huyu mdau ingawa aliuliza swali la kumtusi mama mzazi. Mungu akubariki sana. Ila watu waache mambo ya kuwagusa wazazi wetu kwa matusi na kashfa.
Na amekomaa na mama yake hatari, kuna watu ukiongelea angle inayomgusa anakimbilia kutusi wazazi. Ila muulizaji simshangai, kawaida yake.
 
Na amekomaa na mama yake hatari, kuna watu ukiongelea angle inayomgusa anakimbilia kutusi wazazi. Ila muulizaji simshangai, kawaida yake.

Cha ajabu haoni hata ukakasi kuandika wazazi wa wenzie vibaya naman hii
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jaman me leo ninarahaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…