Lara Moja

666 chata

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
1,700
Reaction score
3,921
Lara 1 please mama popote ulipo, i miss you so much... fanya kurudi mamii... tangu uondoke form four wengi wamejazana na kuliteka jukwaa... stori za kusadikika na kujikweza zimezidi mbaya zaidi hazivutii kabisa... fanya kurudi utupe Uhuni mpya wa masista du wa dar.
 
Hilo la form four limekuuma sana sio? Basi mlengwa mmoja huyu, orodha itaendelea.
Sasa mimi niliishia la 7 kuniita form four si kunipaisha.

Mtafute lara unakomtafuta ukimaliza ulete orodha na vyeti vya orodha.
 
Lara 1 sijui ndo mange kimambi sema lara 1 yupo smart sio kama mange kimambi huwa analishwa data ila kichwani mwake yeye kuna mitusi tu
 
Hadi hapo tu na wewe ni form four mwenzao
 
Huu Uzi umeandika ukiwa umepakatwa sio?
Mkuu ni Ushauri tuuu ungejiita Mme wetu....
hii itakuwa rahisi kwa msomaji anapoku quote au anapokutaja jina lako...
Ila ulivyojiita hivyo Mtu anahisi sio wake ni wenu...jaribu tuu Mkuu kujiita Mme wetu...
 
Angalie usije kuolewa wewe Mkuuu
OOhh...unaweza tuu kuja kutoa Mrejesho hapa...
IKIGIJO....Cheza nae mbali Mkuu
 
Kweli mkuu hata mie nimemiss Lara 1.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…