Sema kama nenga
Member
- May 8, 2025
- 24
- 114
| Rank | Country | Annual Production (in Million Metric Tonnes) |
| 1 | Mexico | 2.5 |
| 2 | Colombia | 1.1 |
| 3 | Peru | 0.9 |
| 4 | Indonesia | 0.7 |
| 5 | Kenya | 0.4 |
Hata Tanzanite wanauza sana,wakati inachimbwa MireraniDaah Wakenya wanatoa maparachochi Tarakea na Rombo harafu eti nao wapo juu kweli sisi tumelala aisee..
Harafu mtandaoni tunasema jamaa wana njaa sana.Hata Tanzanite wanauza sana,wakati inachimbwa Mirerani
Ni watu wachapakazi sanaMexico kuna makundi hatari ya kihalifu kwenye hii Biashara ya "Green Gold"
Kenya anakuja kununua avocados tz akijumlisha na zakeHarafu mtandaoni tunasema jamaa wana njaa sana.
Serikali yao inawapigania sana masoko ya njeDaah Wakenya wanatoa maparachochi Tarakea na Rombo harafu eti nao wapo juu kweli sisi tumelala aisee..
Wakenya wakija nunua hata nanasi hapo kiwangwa huwa wanatoa bei nzuri hata azam mwenyewe hauziwi wanamuweka pending maana analaliaaDaah Wakenya wanatoa maparachochi Tarakea na Rombo harafu eti nao wapo juu kweli sisi tumelala aisee..
Sisi pana kipindi ili utoe bidhaa nje ya Nchi kama Asali unaambiwa ulipie kibali kwa dola na kupata hicho kibali ni mazoezi kweli sijui kama sasa hivi wameweka maombi kwenye mtandao watu kwenda kuuza Mchele Zambia wanazungusha border pale ajabu kweli..Serikali yao inawapigania sana masoko ya nje
Tatizo tz urasimu mwingi
Oba
Tanzania urasimu mwingi hasa Wizara ya Kilimo sijui kwa sababu Wizara hiyo ina watendaji wengi Wasukuma ambao hawapendi mabadiliko?Sisi pana kipindi ili utoe bidhaa nje ya Nchi kama Asali unaambiwa ulipie kibali kwa dola na kupata hicho kibali ni mazoezi kweli sijui kama sasa hivi wameweka maombi kwenye mtandao watu kwenda kuuza Mchele Zambia wanazungusha border pale ajabu kweli..
Kwa TZEE Deals nyingi za kuexport huwa zinakamatwa na wakubwa juu kwa juu. Wakubwa na maanisha viongozi wa ngazi za juu serikalini.Tatizo tz urasimu mwingi
Mawaziri na makatibu wa Wizara hasa Wizara ya Kilimo pamoja na Wizara ya Viwanda na Biashara.Shida vibali vingi,urasimu wa kupata vibali,kukosa sera nzuri katika kutekeleza majukumu.Vikwazo vingi visivyo na sababu,ukabila na ukanda vimetawala sana Tanzania.Kwa TZEE Deals nyingi za kuexport huwa zinakamatwa na wakubwa juu kwa juu. Wakubwa na maanisha viongozi wa ngazi za juu serikalini.
Wanalima pia, ila wakichukua kwetu wanasafirisha kupitia bandari yao ya Mombasa, sisi bado tumelegea kwenye baadhi ya maeneo pale bandariniDaah Wakenya wanatoa maparachochi Tarakea na Rombo harafu eti nao wapo juu kweli sisi tumelala aisee..
Mimi nadhani mazingira ya kusafirisha kwetu yapo juu ngoja ntafatilia kwa sasa hivi maana naona wenzetu wanatutumia sana kama vitunguu vyekundu tu kwao ni hela sana nje..Wanalima pia, ila wakichukua kwetu wanasafirisha kupitia bandari yao ya Mombasa, sisi bado tumelegea kwenye baadhi ya maeneo pale bandarini