Largest Water Park in Africa under construction in Zanzibar at Verde Hotel

Largest Water Park in Africa under construction in Zanzibar at Verde Hotel

Hakoseagi huyu mtu, Akitoka huko aende Dom kuna upungufu wa sehemu za kujiachia.
Chakwanza hiyo hoteli gari inafika hadi reception.
Pia amehaidi akimaliza ujenzi wa miradi yake miwili anaanza kujenga sky scrapers nayuko na mpango wakujenga sky scraper majini kama Dubai
 
Chakwanza hiyo hoteli gari inafika hadi reception.
Pia amehaidi akimaliza ujenzi wa miradi yake miwili anaanza kujenga sky scrapers nayuko na mpango wakujenga sky scraper majini kama Dubai
Ebanaee.. Zanzibar is on fire, kuna ule mradi mkubwa wa hotels, airport, golf course na ma apartments umefikia wapi. Inapo elekea Mombasa itakua inashindana na Kilwa Kivinje
 
Bakhresa ana bidii sana jamaa, hapa nampa hongera, pona yake hajajiingiza kwenye siasa siasa.
Tajili kwenye siasa huwa akubaliki kwenye siasa za TZ. Ukiingia jua ndomwanzo wako wakufilisika. MoDewji aliingia baadae ilibidi akimbie huko
 
Conference halls za Verde zimetulia mno!

When you present a topic you feel like you are real presenting.
 
inategemea mkuu km icho kichwa kingine kinajifanya kipo na wewe kumbe kinakuhujumu kitakuwa na faida gn?
Bakhresa kapatia wapi utajiri wake? Kuanzia kuuza potato mix mpaka leo! Hivi unafikiri angekuwa Znz angefikia alipo?
 
Back
Top Bottom