remarkable.Nyota ya huyu Kijana inazidi kung'aa tu. The guy is achieving greatness right infront of us. Hongera Larry. Alianzia KTN akaenda Ntv, Kisha akaenda BBC, sasa yuko CNN.
Amekuwa Nairobi Correspondent kwa miezi miwili tu sasa amepandishwa cheo na kuwa international correspondent, sasa kazi yake itakuwa ni kureport habari zinazotokea duniani kote iwe ni Marekani au Afrika au Asia. Hongera sana kijana wa nyumbani.
Asha Rose Migiro alikua naibu katibu mkuu wa UN cheo ambacho Kenya hamna uwezo wa kukipata, eti hao watangazaji kwenu ni Jambo la kujisifia, kweli mumeishiwa siku hizi[emoji1][emoji1][emoji1]Nyota ya huyu Kijana inazidi kung'aa tu. The guy is achieving greatness right infront of us. Hongera Larry. Alianzia KTN akaenda Ntv, Kisha akaenda BBC, sasa yuko CNN.
Amekuwa Nairobi Correspondent kwa miezi miwili tu sasa amepandishwa cheo na kuwa international correspondent, sasa kazi yake itakuwa ni kureport habari zinazotokea duniani kote iwe ni Marekani au Afrika au Asia. Hongera sana kijana wa nyumbani.
Hahaha. Usilazimishe tufanane. UN watu wanachaguliwa kwa kujuana. Wanawake wengine wanapewa vyeo vikubwa kwa kupanua miguu. Ila simaanishi kwamba Asha Rose alipata cheo kwa njia ya mkato. Yeye pengine alipata kwa kuhitimu ila vyeo vya UN vina siasa nyingi ndani na kawaida watu hupata vyeo kisiasa. Ila CNN haiwezi kumuajiri mtu ambaye hana masomo na experience inayofaa.Asha Rose Migiro alikua naibu katibu mkuu wa UN cheo ambacho Kenya hamna uwezo wa kukipata, eti hao watangazaji kwenu ni Jambo la kujisifia, kweli mumeishiwa siku hizi[emoji1][emoji1][emoji1]
Hapo kwa UN i agree with you 100%Hahaha. Usilazimishe tufanane. UN watu wanachaguliwa kwa kujuana. Wanawake wengine wanapewa vyeo vikubwa kwa kupanua miguu. Ila simaanishi kwamba Asha Rose alipata cheo kwa njia ya mkato. Yeye pengine alipata kwa kuhitimu ila vyeo vya UN vina siasa nyingi ndani na kawaida watu hupata vyeo kisiasa. Ila CNN haiwezi kumuajiri mtu ambaye hana masomo na experience inayofaa.
Wacha kuchekesha watu, Larry Madowo ana Elimu gani?, Fungua CV ya Asha Rose Migiro uone jinsi alivyo na Qualifications, UN hakuna ujinga ujinga, hujui lolote kuhusu system ya kuwapata watumishi wa UN, ndio sababu Amina Mohamed mnajaribu kutumia nguvu nyingi Sana kumuingiza UN lakini mnashindwa wanachukua watu Kama Ngozi wa NigeriaHahaha. Usilazimishe tufanane. UN watu wanachaguliwa kwa kujuana. Wanawake wengine wanapewa vyeo vikubwa kwa kupanua miguu. Ila simaanishi kwamba Asha Rose alipata cheo kwa njia ya mkato. Yeye pengine alipata kwa kuhitimu ila vyeo vya UN vina siasa nyingi ndani na kawaida watu hupata vyeo kisiasa. Ila CNN haiwezi kumuajiri mtu ambaye hana masomo na experience inayofaa.
Ujinga tu, Jeff Koinange alondokaje CNN?Hahaha. Usilazimishe tufanane. UN watu wanachaguliwa kwa kujuana. Wanawake wengine wanapewa vyeo vikubwa kwa kupanua miguu. Ila simaanishi kwamba Asha Rose alipata cheo kwa njia ya mkato. Yeye pengine alipata kwa kuhitimu ila vyeo vya UN vina siasa nyingi ndani na kawaida watu hupata vyeo kisiasa. Ila CNN haiwezi kumuajiri mtu ambaye hana masomo na experience inayofaa.
Larry ana masters in journalism from Columbia university in New York. That is an ivy league university.Wacha kuchekesha watu, Larry Madowo ana Elimu gani?, Fungua CV ya Asha Rose Migiro uone jinsi alivyo na Qualifications, UN hakuna ujinga ujinga, hujui lolote kuhusu system ya kuwapata watumishi wa UN, ndio sababu Amina Mohamed mnajaribu kutumia nguvu nyingi Sana kumuingiza UN lakini mnashindwa wanachukua watu Kama Ngozi wa Nigeria
comparing oranges with apples here.Wacha kuchekesha watu, Larry Madowo ana Elimu gani?, Fungua CV ya Asha Rose Migiro uone jinsi alivyo na Qualifications, UN hakuna ujinga ujinga, hujui lolote kuhusu system ya kuwapata watumishi wa UN, ndio sababu Amina Mohamed mnajaribu kutumia nguvu nyingi Sana kumuingiza UN lakini mnashindwa wanachukua watu Kama Ngozi wa Nigeria
Nyota ya huyu Kijana inazidi kung'aa tu. The guy is achieving greatness right infront of us. Hongera Larry. Alianzia KTN akaenda Ntv, Kisha akaenda BBC, sasa yuko CNN.
Amekuwa Nairobi Correspondent kwa miezi miwili tu sasa amepandishwa cheo na kuwa international correspondent, sasa kazi yake itakuwa ni kureport habari zinazotokea duniani kote iwe ni Marekani au Afrika au Asia. Hongera sana kijana wa nyumbani.
Japo Sina degree, lakini Master level is very basic kwa dunia ya Sasa, hampaswi kujisifia kwa mtu mwenye Master degree, tena Kuna uwezekano mkubwa alikua akipata "C na D grades"Larry ana masters in journalism from Columbia university in New York. That is an ivy league university.
Akina MagufuliFun fact: Kenya has produced 3 CNN international correspondents. Zain Verjee, Jeff Koinange na sasa Larry Madowo. Malazy ambao huwa wanasema eti kujua kiingereza hakusaidii chochote basi jaribuni kutafuta kazi CNN muone kama mtapata na hicho kiingereza chenu cha zezeze.
Mimi ni Joji Maratu wa ITViiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii naye atapandishwa kuwa International corespondent based in London! Sky EclatNyota ya huyu Kijana inazidi kung'aa tu. The guy is achieving greatness right infront of us. Hongera Larry. Alianzia KTN akaenda Ntv, Kisha akaenda BBC, sasa yuko CNN.
Amekuwa Nairobi Correspondent kwa miezi miwili tu sasa amepandishwa cheo na kuwa international correspondent, sasa kazi yake itakuwa ni kureport habari zinazotokea duniani kote iwe ni Marekani au Afrika au Asia. Hongera sana kijana wa nyumbani.
Komla Afeke Dumor alipofariki niliumia sana, ninafurahi kuona vipaji vingine vikiibuka kutoka AfrikaMimi ni Joji Maratu wa ITViiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii naye atapandishwa kuwa International corespondent based in London! Sky Eclat
Hahaha. Usilazimishe tufanane. UN watu wanachaguliwa kwa kujuana. Wanawake wengine wanapewa vyeo vikubwa kwa kupanua miguu. Ila simaanishi kwamba Asha Rose alipata cheo kwa njia ya mkato. Yeye pengine alipata kwa kuhitimu ila vyeo vya UN vina siasa nyingi ndani na kawaida watu hupata vyeo kisiasa. Ila CNN haiwezi kumuajiri mtu ambaye hana masomo na experience inayofaa.
Mkenya Mukhisa Kituyi amekuwepo UNCTAD kama Secretary General, sio huo unaibu unaoungumzia. Tena kwa muda mrefu, tangia mwaka wa 2013 hadi mwaka huu. Jikite kwenye mada, achana na majigambo ya peni mbili. Mukhisa Kituyi | UNCTADAsha Rose Migiro alikua naibu katibu mkuu wa UN cheo ambacho Kenya hamna uwezo wa kukipata, eti hao watangazaji kwenu ni Jambo la kujisifia, kweli mumeishiwa siku hizi[emoji1][emoji1][emoji1]