Wakenya na UhuRuto mnajua mlivyoanza. Mlinunua Tanga Fresh mkaweka stock, huku mkijua kuwa Tanga Fresh huwa ni maziwa yasiyowekea dawa zozote, yaani ni pure milk, mka kaa nayo hadi mlipoona yamekaribia kuharibika mkayatoa kuelekea sokoni, then wakenya wakanunua, kila aliyenunua akakuta yameharibika, UhuRuto na serikali yake wakasema Watanzania wanaleta vitu vilivyo expire, ikabidi Tanga fresh ipigwe marufuku, oryx ikapigwa marufuku pia, mkawahonga baadhi ya watanzania ili Tz iwe soko lenu, ila this time mmepatikana!