LATARA ni tatizo kwa Watanzania

ambiliki

Member
Joined
Jun 26, 2013
Posts
80
Reaction score
46
LATARA wamekuwa na vikwanzo visivyo na maana na zaidi ya yote ni kukwamisha maendelea,
Mfano: umeenda tala umewalipa wamekubali umeenda tala (tanapa) mumeshea kulipa dola mia tano wamekubali njoo sasa latra ,unaulizwa mambo mengi yasio na maana umewapa kadi ya gari unaulizwa tanapa unaulizwa tax clearance mbona kwingine wasikuulize namekuja kulipa mnachotaka nilipisheni Mimi niendele na biashara yangu vikwanzo mnatunyima vijana furusa.ajira hakuna na tunapo zitengeneza ajira mnatuwekea wakati mgumu kweli Tanzania ni shida
 
Hebu taratibu kwanza [emoji23][emoji23] unawazungumzia akina
 
Kuishi tu Africa ni ajira tosha,bila kujipanga na pesa ya kubrashia viatu utalialia kila siku,wanapofanya mlolongo kuwa mgumu maana yake wanahitaji griss
 
Kwa hiyo kama una gari la magumashi lipewe tukibali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…