Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Allow me to introduce to you (Late) Oba Sir Olateru Olagbegi, A successful Polygamous who left behind 117 children, 111 were university graduate,35 were lawyers including 10 High Court judges.25 were surgeon,22 chartered accountants and 23 Engineers.
Olateru alikua Chief wa kabila la Yoruba aliyeteuliwa na Waingereza mwaka 1941. Mwaka 1960 yalitokea mapigano ya kikabila yakiyomtoa katika kiti chake. Hata hivyo mwaka 1993 alirudishiwa cheo chake. Alipewa heshima na Malkia kwa utumishi wake katika dola ya Kifalme ya Uingereza na kuitwa Sir Olateru.