Latest CAF Club ranking,Simba SC yawa ya 20, Yanga 57

Duh kumbe YANGA ni undercat kias hki watatutia aibu Tanzania.
 
CLUB YANGU YA MAJIMAJI YA SONGEA IMESHIKA NAFASI YA NGAPI JAMANI
Mwakani kuna uchaguzi usijali itashika nafasi za juu maana timu hii ni ya uchaguzi kwa watarajiwa kuombea kura
 
Lete chanzo wewe.
 
Hawa caf ndio wanaongoza kwa m pesa na Western union money transfer [emoji41]
 
hongera zao Simba but kitakachowashusha muda si mrefu ni hizi figisu za wakolomije dhidi ya Mo.
wamedhamiria kwa dhati kumshusha kutoka kileleni, which will mean SSC sinking into the same wilderness!
 
Vipi leo unabadilisha msimamo wako kuwa Mazembe wamefulia
Kiongozi, hii ni orodha ya club tajiri au club zenye viwango bora?

Kama utakuwa unakumbuka nilisema kwenye uzi wa Singano kuwa mazembe inaelekea kuwa timu ya daraja la kati sio tayari imekwisha kuwa kwa sababu haina hela sasa hivi ina sajili wachezaji wa daraja la kati wengi kuliko kipindi chochote unategemea itashindana na mamelodi au al ahly tena?
 
Mwaka huu sote tunacheza tusubili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ