Hivi unafikiri kwa sababu TP mazembe ni klabu kubwa ko wachezaji wote wanapewa maslahi sawa?Maslahi!
Unaamini Simba kuna maslahi kuliko Tp Mazembe.You can't be serious
Siyo kila unachoambiwa kipo hivyo, learn to digest infos
Kwa hiyo wewe ukiambiwa na mhusika unameza hivyohivyo?Hivi unafikiri kwa sababu TP mazembe ni klabu kubwa ko wachezaji wote wanapewa maslahi sawa?
Unabisha wakt muusika amesema ameangalia maslahi.
Je unajua Ajibu walimuoffer sh ngapi
Kausha mtani,kuna watu wanatamani uzi ule uwe stickyNimejikuta nacheka tu hapa Mtani sababu katika siku ulizoishi kwa shida jf na leo ipo.
OKW BOBAN SUNZU.
Wewe ni Chura bishaNo wonder FIFA wameteua mtu wa kusimamia uendeshaji wa CAF. Kama rankings zenyewe zipo hivyo FIFA wana kila sababu ya kufanya hivyo.
Pole Mtani hadi nikakuonea huruma maana wote tukapata pa kupumulia leo. ๐๐๐๐Kausha mtani,kuna watu wanatamani uzi ule uwe sticky
Shida ya bongo uwezo wenu wa kuona ni mdogo mno.Kwa hiyo na wewe unaamini kila mchezaji wa tp mazembe analipwa vizuri kuliko kila mchezaji wa simba....kwamba ambokile kule tp mazembe analipwa vizuri kuliko kagere simba?????....kati ya mimi na wewe who is not serious????
Nimejikuta nacheka tu hapa Mtani sababu katika siku ulizoishi kwa shida jf na leo ipo.
OKW BOBAN SUNZU.
Hahaha!!Kausha mtani,kuna watu wanatamani uzi ule uwe sticky
Ujue nimecheka sana lol.Hahah
Akatimize alichoahidi tu hamna jinsi mkuu
Eti anakuambia kausha lolUjue nimecheka sana lol.
Muache Mtani wangu apumzike bana maana leo mmejua kumtoa kijasho. ๐๐๐
Hahahaaaa. Kumbe wengine mnapita huku. Lol.Eti anakuambia kausha lol
@Shadeeya habari za Morogoro ๐Hahahaaaa. Kumbe wengine mnapita huku. Lol.
Musameheni tu kwanza uzi wa kitambo ule Mkuu.
Eti hata akicheza bure ata opt mazembe...unataka a opt mazembe kukufurahisha wewe familia yake utailisha wewe...kwa hiyo mtu aache kufuata maslahi mazuri ila unataka aende mazembe ili wewe ufurahi....alafu kwani kila anayeenda mazembe anatoboa???acheni wachezaji wafanye maamuzi kwa maslahi yao...washabiki kama mnaona anakosea anzeni nyinyi kucheza mpira muende huko mazembeShida ya bongo uwezo wenu wa kuona ni mdogo mno.
Mchezaji mwenye vision ata-opt Mazembe hata akicheza bure kabisa kuliko kulipwa Simba.
Baada ya misimu miwili pekee tutaona Ambokile na Ajib watakuwa wapi.
Moro kuko salama tu kama mnavyokusikia Mtani. Vp tukuletee matikiti? ๐๐๐@Shadeeya habari za Morogoro ๐
Haya mavuno yanaendeleaje huko Matombo? ๐๐
Moro ni kama South Africa eeh Shadeeya ๐๐๐Moro kuko salama tu kama mnavyokusikia Mtani. Vp tukuletee matikiti? ๐๐๐
Nimefurahi tupo na Recretivo de Libolo,Nadhani unawakumbuka vizuri sana we Kilomoni fcLatest CAF Clubs ranking TOP 70
1.TP Mazembe ๐จ๐ฉ
2.Wydad Casablanca ๐ฒ๐ฆ
3.Al-Ahly ๐ช๐ฌ
4.Espรฉrance de Tunis ๐น๐ณ
5.Mamelodi Sundowns ๐ฟ๐ฆ
6.รtoile du Sahel ๐น๐ณ
7.Zamalek ๐ช๐ฌ
8.Horoya ๐ฌ๐ณ
9.USM Alger ๐ฉ๐ฟ
9.Raja Casablanca ๐ฒ๐ฆ
11.ZESCO United ๐ฟ๐ฒ
12.AS Vita Club ๐จ๐ฉ
13.RS Berkane ๐ฒ๐ฆ
14.CS Sfaxien ๐น๐ณ
15.Al-Hilal ๐ธ๐ฉ
15.Club Africain ๐น๐ณ
17.ES Sรฉtif ๐ฉ๐ฟ
18.1ยบ de Agosto ๐ฆ๐ด
18.Enyimba ๐ณ๐ฌ
20.CS Constantine ๐ฉ๐ฟ
20.FUS Rabat ๐ฒ๐ฆ
20.Simba ๐น๐ฟ
23.Gor Mahia ๐ฐ๐ช
23.Orlando Pirates ๐ฟ๐ฆ
25.Al-Masry ๐ช๐ฌ
25.SuperSport United ๐ฟ๐ฆ
27.ASEC Mimosas ๐จ๐ฎ
27.KCCA ๐บ๐ฌ
29.JS Saoura ๐ฉ๐ฟ
29.MC Alger ๐ฉ๐ฟ
29.Al-Ahli Tripoli ๐ฑ๐พ
29.Hassania Agadir ๐ฒ๐ฆ
29.Lobi Stars ๐ณ๐ฌ
29.Al-Merrikh ๐ธ๐ฉ
29.Nkana ๐ฟ๐ฒ
36.Ferroviรกrio Beira ๐ฒ๐ฟ
37.MO Bรฉjaรฏa ๐ฉ๐ฟ
37.CARA Brazzaville ๐จ๐ฌ
37.Difaรข El Jadidi ๐ฒ๐ฆ
37.Rayon Sports ๐ท๐ผ
41.Mbabane Swallows ๐ธ๐ฟ
42.Saint George ๐ช๐น
42.Al-Hilal Al-Ubayyid ๐ธ๐ฉ
42.Zanaco ๐ฟ๐ฒ
45.NA Hussein Dey ๐ฉ๐ฟ
45.Ismaily ๐ช๐ฌ
45.Asante Kotoko ๐ฌ๐ญ
45.Enugu Rangers ๐ณ๐ฌ
45.FC Platinum ๐ฟ๐ผ
50.TOWNSHIP ROLLERS ๐ง๐ผ
50.Williamsville ๐จ๐ฎ
50.UD Songo ๐ฒ๐ฟ
50.AS Togo-Port ๐น๐ฌ
54.Recreativo do Libolo ๐ฆ๐ด
54.Coton Sport ๐จ๐ฒ
54.Young Africans ๐น๐ฟ
54.CAPS United ๐ฟ๐ผ
58.Petro de Luanda ๐ฆ๐ด
58.Salitas ๐ง๐ซ
58.AS Otรดho ๐จ๐ฌ
58.Smouha ๐ช๐ฌ
62.Aduana Stars ๐ฌ๐ญ
62.Medeama ๐ฌ๐ญ
62.Djoliba ๐ฒ๐ฑ
62.Moghreb Tรฉtouan ๐ฒ๐ฆ
62.Kawkab Marrakeca ๐ฒ๐ฆ
67.CF Mounana ๐ฌ๐ฆ
67.Rivers United ๐ณ๐ฌ
70.MC El Eulma ๐ฉ๐ฟ
70.AC Lรฉopards ๐จ๐ฌ
70.Stade Malien ๐ฒ๐ฑ
Simba tuna malengo ya kuingia top 5