Ndiyo mabingwa wa kihistoria,Simba mara 5,Yanga 4.....msonyi anawaza mapato badala ya maendeleo ya soka,kuna siku akija Tz atapigwa mawe maana kagusa kulwa na doto,then Tifua tifua wanzingua ilitakiwa wamuonye kwa kauli zake za kishamba