john in dar is right,mimi natafuta kazi na kazi nyingi ambazo leonku amepost nilishaziona kwenye site nyingine ambayo inapost kazi mpya kila siku ,kazi zaidi ya kumi kwa siku na ni rahisi kutafuta,wanaotafuta kazi kama mimi check out this website link Tanzania Jobs | Jobs in Tanzania & Tanzania Employment > EverythingDar.com ,
ili kupata mpya zaidi .