Latest Opinion Poll Jubilee to win by 45 % to Cord 40%

Latest Opinion Poll Jubilee to win by 45 % to Cord 40%

Nairoberry

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2012
Posts
932
Reaction score
525
things are getting heated up the latest opinion poll says uhuru jubilee will win by 45% this is very bad news for Raila. as its is uhuru and ruto tribal base of kalenjin and Gema can knockout raila and kalonzo base of luo and kamba.

But my own analysis is that in the second round Raila will knockout uhuru,
THE RESEARCH WAS CONDUCTED BY SMART OCTOPUS.
 
file.php.jpg

http://www.scribd.com/doc/62318262/Smar ... ugust-2011
 
Samahanini wadau lakini it sounds so primitive wakati wa kuchagua Rais watu wanapoconsider zaidi kabila kuliko issues ambazo wagombea wanasimamia.
Yaani katika uchaguzi makabila yanatajwa zaidi kuliko hata sera za uchumi, kilimo, afya, elimu, ulinzi na usalama, ushirikiano wa kimataifa, maliasili etc.
Katika mazingira kama haya maendeleo tunayachelewesha mno...
 
Nd'o siasa ya Kenya hio and there's nothing we can do about it.
 
Ndio leo naisikia hii kampuni ya utafiti

Wakati wa kampeni za kuzindua katiba mpya pia walikuwepo.

...its important to note that at that time, they claimed the NO side would triumph over the YES side.

...we all know how that turned out.
 
.. juzijuzi tu tumeshuhudia hata magwiji kama Gallup, Rasmussen, etc. zilivyokuwa zinampa mzee romney matumaini feki. sasa sijui hii octopus ina nini kipya!
 
Ikumbukwe jubilee wameajiri vijana wanaconduct opinion pal.nazani ndio hawa pweza.hahahahaha poleni sana jubilee.
 
things are getting heated up the latest opinion poll says uhuru jubilee will win by 45% this is very bad news for Raila. as its is uhuru and ruto tribal base of kalenjin and Gema can knockout raila and kalonzo base of luo and kamba.

But my own analysis is that in the second round Raila will knockout uhuru,
THE RESEARCH WAS CONDUCTED BY SMART OCTOPUS.

Nairoberry forget opinion polls because they do not capture the mood of voters. look at who registered most in his political stronghold base...........................and you will know why? Thanks to Koffi Annan & ICC's intimidation that Uhuruto are almost there..........................to form the next government after march 4th................Am only waiting for Raila's concession speech.
 
Back
Top Bottom