Nairoberry
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 932
- 525
Samahanini wadau lakini it sounds so primitive wakati wa kuchagua Rais watu wanapoconsider zaidi kabila kuliko issues ambazo wagombea wanasimamia.
Yaani katika uchaguzi makabila yanatajwa zaidi kuliko hata sera za uchumi, kilimo, afya, elimu, ulinzi na usalama, ushirikiano wa kimataifa, maliasili etc.
Katika mazingira kama haya maendeleo tunayachelewesha mno...
Ndio leo naisikia hii kampuni ya utafiti
.. juzijuzi tu tumeshuhudia hata magwiji kama Gallup, Rasmussen, etc. zilivyokuwa zinampa mzee romney matumaini feki. sasa sijui hii octopus ina nini kipya!
things are getting heated up the latest opinion poll says uhuru jubilee will win by 45% this is very bad news for Raila. as its is uhuru and ruto tribal base of kalenjin and Gema can knockout raila and kalonzo base of luo and kamba.
But my own analysis is that in the second round Raila will knockout uhuru,
THE RESEARCH WAS CONDUCTED BY SMART OCTOPUS.