Latest picture of Lamu Port ( 1st Berth almost complete)



Nani anafadhili mradi
Just to know
 
joto la jiwe huu mradi umelipiwa na serikali ya Kenya 100%. Hatuombi loan kwa kila kitu.
 
Hii white elephant sijui itaishia wapi? South Sudan, Ethiopia hawataki katu katu kusikia huu upuuzi, ukiangalia Mombasa port zaidi ya 75% consignments ni za Kenya ni only 20+% za Uganda na hivyo vilivyobaki ndio others, meanwhile Mombasa port capacity haijawa utilised hata 80%

Hii lamu ni mzuka wa uhuru ulimuibukia from nowhere akila gambe na ganja ndio akaja na hiki kituko cha lapsset, mziki utakuja kwa watumiaji na mkopo nani anaulipa? Ngoja tuone watu watakavyochezeshwa kwaito ya mafikizolo
 
Hahaa hii project ilianza wakati wa Mwai Mheshimiwa Emilio Kibaki. Purpose of the project is to open up a second transport corridor sio mambo ya Ethiopia au S.Sudan. Tutajenga resort city Isiolo. Ngoja barabara kati ya Lamu na Isiolo ikamilike. Sisi hatujali kama Ethiopia watachangamkia hii fursa au la, sisi tutaendelea kufungua second corridor. joto la jiwe Mbona umekataa kutazama video, au bundles hauna? Kenya bado ni failed state?
 
Hahahaha naona reasoning yako ni ile iliyotumika kutupilia mbali Bagamoyo Port, sasa unadhani itatumika pia Lamu Port, pole boss, sit down and see how things get done...When complete,it will serve the Southern part of Ethiopia with a population of 50m+
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…