U Uzalendo wa Kitanzania JF-Expert Member Joined Mar 8, 2020 Posts 3,585 Reaction score 8,106 Apr 21, 2021 #1 Mchezaji wa Klabu ya Soka ya Hafla FC ya nchini Guinea Latige Camara amefariki dunia leo asubuhi baada ya kudondoka uwanjani akiwa mazoezini. Taarifa za awali kutokea nchini humo zinataja chanzo cha kifo chake kuwa ni uchovu unaotokana na jufanya mazoezi huku akiwa amefunga.
Mchezaji wa Klabu ya Soka ya Hafla FC ya nchini Guinea Latige Camara amefariki dunia leo asubuhi baada ya kudondoka uwanjani akiwa mazoezini. Taarifa za awali kutokea nchini humo zinataja chanzo cha kifo chake kuwa ni uchovu unaotokana na jufanya mazoezi huku akiwa amefunga.
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 32,603 Reaction score 62,269 Apr 21, 2021 #2 Hii imekaaje kiimani? Kwako maalim
ras jeff kapita JF-Expert Member Joined Jan 4, 2015 Posts 22,152 Reaction score 33,899 Apr 21, 2021 #3 Kalpana said: Hii imekaaje kiimani? kwako maalim Click to expand... Watakuja kina Battawi kufafanua.
beberu la mtaa JF-Expert Member Joined Jan 21, 2017 Posts 276 Reaction score 467 Apr 21, 2021 #4 Maiti haikosi sababu.
Foxhound JF-Expert Member Joined Dec 15, 2013 Posts 28,710 Reaction score 76,243 Apr 21, 2021 #5 Innalillahi wainna ilayhi rajiuun