Mama Edina
JF-Expert Member
- Dec 18, 2022
- 850
- 2,019
Niende kwenye kero.
Ndani ya siku mbil hizi nimetembelea Bagamoyo. Bunju sokoni yamejaa magari (yamepaki).
Bagamoyo to Mbezi abiria wanateseka, wanapumuliana, wanabanana, wanabahashiana, wanasababishiana hasira na kuchafuana. Kiukweli nilitoa tusi zito sana liwafikie Sumatra.
Wapeni TLB waende mbezi, Hilo linaugumu gani